Asantee mkuu... 4D 33 inaonekana imekaa vizuri.. hiv ukifunga unaeza miaka mingap kabla ya kuipiga overhaul ??Sijatumia hizo zingine nje ya 4D33. Mimi sio fundi ni mmiliki ninachojua ni kwamba Canter hawajawahi kwenye 4D series huwa naona 4M40 ya canter Guts ndio kimeo ndio kama walidesa hivi. Well chukua 4D33 kapige kazi mjomba hutajuta.
Asantee mkuu... 4D 33 inaonekana imekaa vizuri.. hiv ukifunga unaeza miaka mingap kabla ya kuipiga overhaul ??