Ipo haja kwa UN kutupia jicho lake kwa ukali zaidi katika mambo ya demokrasia duniani

Ipo haja kwa UN kutupia jicho lake kwa ukali zaidi katika mambo ya demokrasia duniani

Crocodiletooth

JF-Expert Member
Joined
Oct 28, 2012
Posts
20,561
Reaction score
24,428
Demokrasia au haki ya walio wengi imekuwa kama chanzo cha matatizo mengi sana katika kila kona ya dunia yetu vita mauaji ya hovyo na mengi mno mabaya sana yasiyoweza hata kuambilika, hivyo kwa upande wangu binafsi naona ipo haja ya kimsingi kabisa na muhimu sana kwa UN wakawa na kitengo maalumu ambacho kitakuwa kinahusika moja kwa moja ndani ya nchi yoyote ile duniani yaani tume zote za uchaguzi huru zikawa na ujumbe madhubuti wa UN ndani yake kama uwakilishi wa UN, na endapo nchi yoyote husika itaenda kinyume na taratibu za kiuchaguzi basi pawepo na mamlaka za kijeshi za kuzilazimisha inchi hizo kuheshimu matakwa ya kiraia kwa taifa husika nina imani matatizo mengi ambayo chanzo chake huwa ni uchaguzi yatamalizika kabisa na tutaishi katika dunia iliyo huru zaidi
 
Back
Top Bottom