Atakuwa alikuwa anajisema mwenyewe.Kuna ambao Prof. Kabudi alisema kemia hawakufikia hata kwenye "periodic table" ya kidato cha pili ila sasa hivi ni wachambuzi wa "concentration" ya madini yaliyomo kwenye makinikia!"
Kuwa kiongozi au mtawala sio leseni ya kuwa bingwa wa kila jambo,ndio maana wanapewa washauri ambao ni mabigwa wa fani husika.
Lakini wapo watu wanatumia common sense kama huyo Mama japo sio medical specialist,tusiwapuuze.
Mkuu ,nimemsikiliza huyu mama, amezungumza truth and only the very truth. Imetouch my five senses. Mungu aijaze roho ya kuelewa, hili alilolisema huyu mama, kwa viongozi wetu.Kuwa kiongozi au mtawala sio leseni ya kuwa bingwa wa kila jambo,ndio maana wanapewa washauri ambao ni mabigwa wa fani husika.
Lakini wapo watu wanatumia common sense kama huyo Mama japo sio medical specialist,tusiwapuuze.
Mkuu knowledge is power.Hapa ndo unaona umuhimu wa shule, amederive kwa dk 5 tu unapata new hope, new directions, contingency plan, New Thought, guidance
Sent from my iPhone using JamiiForums
pole kama umekwazika lakini ujumbe huu uliwalenga mangwini wote waliozoea kupiga domo nyakati za utulivu wa magonjwa ya milipuko...eti nao sasa wanataka kujidai wasemaji na watoa maoni kwenye jambo linalotumia ubongo kulitatua.
ujumbe ni kuwa ngwini wote watulie kwa sasa na wasubiri vipanga wawape nini cha kusema.
COVID 19 is for intellects to solve not some mburululas

Anzeni na Bashite.