jingalao
JF-Expert Member
- Oct 12, 2011
- 36,197
- 29,717
Nikijitambua kama mzalendo kamili nchini sitasita kutoa maoni yangu kuntu hususani linapokuja swala la umeme kukatika nchi nzima kwa visingizio visivyo na mashiko kwa wanasayansi kama mimi.
Tanesko sio tu shirika kama yalivyo mashirika mengine ni shirika la kimkakati na la kiusalama.
Kukatika kwa umeme sehemu yoyote nchini lisichukuliwe kama jambo rahisi kutofikishwa kwa umeme sehemu yoyote lisichukuliwe kuwa jambo laini tu umeme ni uhai, umeme ni uchumi na umeme ni usalama wa nchi.
Kamwe isichukuliwe poa pindi umeme unapokatika zaidi tusichukulie mzaha pale ambapo umeme unakatika almost nchi nzima zaidi ya masaa manne hadi sita thisi is a serious national offence.
Nikiwa kama mwananchi msomi sitaki kumlaumu mwanasiasa yoyote bali lawama zangu zitamshukia mtaalamu husika. HAIWEZEKANI NA KAMWE HAILEWEKI kukatizwa kwa umeme masaa mengi na nchi nzima bila kuwa na hujuma ya wazi nyuma yake are we serious kama wataalamu? Yaani ni kweli tunashindwa kudeal na positive vs negative charges kwa kiwango hiki?
TANESKO lazima wawajibike vilivyo, unless they planned to subbotage all along!
Haiwezekani kila uchao mlalamikiwe ninyi tu halafu mnatuletea visingizio vya kisiasa eti maji yamezidia mashine how and to what extent does correlate to amount of rainfall to date can we compare to the amount of rainfall back in the days? What is the maximum amount of rainfall and therefore amount of water could lead into such scenario?were you not prepared? BIG NO NO NO.
Mainjinia wa TANESKO lazima wafunzwe somo this time na somo lenyewe ni kuwafuta kazi kuanzia technician mkuu hadi wa ngazi ya chini bila kujali kelele za ubinadamu. YES YES YES. Let us have a massive reshuffle and restart with newer electricians in town.
Najaribu kufikiri tu iwapo mitambo yetu ya umeme kidatu ingepigwa bomu leo hii. How long could it take to resume? Kama tuna wataalamu careless kiasi hiki wakati wa kawaida itakuwaje wakati wa vita? Kule Ukraine kinu kinapigwa bomu lakini umeme unarejea in few hours /days.
Mheshimiwa Rais futa kabisa hawa wataalamu waliokosa weledi tuanze A.
Wataalamu hawa hawana plan A, B na C ni makanjanja na threat to our national security.
Bottomline :Ifike mahali wapuuzi wanaotaka kusherehesha upuuzi wawajibishwe kikamilifu na iwe funzo kwa wengine.
KWA HISANI YA MTU WATANZANIA!!