Ipo hivi.....

Ngolewasima

Member
Joined
Apr 4, 2017
Posts
51
Reaction score
112
UNAJUA YA KWAMBA….
1.Kitu kizuri kupita vyote ni: UPENDO
2.Kitu rahisi sana kuliko vyote ni: KUDANGANYIKA
3.Zawadi kubwa kuliko zote ni: KUSAMEHE
4.Ajali kubwa kuliko zote ni: KUKATA TAMAA
5.Kitu kinacho danganyika sana kuliko vyote ni: MOYO
6.Kitu kinachojenga pia kubomoa kuliko vyote ni: ULIMI
7.Kitu kibaya kuliko vyote ni: KUOWA AU KUOLEWA VIBAYA
8.Ugonjwa mbaya kuliko zote ni: UJINGA
9.Silaha ya shindi kuliko zote ni: UVUMILIVU
10.Munyama mbaya kuliko wote ni: MWANADAMU
11.Adui wa mtu kuliko wote ni: MWILI
12.Kitu ambacho mtu anachokichunga kisichokuwa na maana ni: FITINA
13.Hazina kubwa kuliko zote ni: FURAHA
14.Sumu inayo uwa haraka ni: UONGO
15.Kifaa kinachoweza kujenga jengo lisiloweza kutikisika ni:
UAMINIFU.


Nini maoni yako....!!!?
 
Rekebisha hicho Kiswahili kwanza ndo tutoe maoni yetu. [emoji848][emoji848][emoji848]
 
MOYO unadanganyikaje? Tangu uko tumboni moyo unafanya kazi yake ya kusukuma damu INVOLUNTARY. Siku 'ukidanganyika' uache kazi yake ya kusukuma damu ndio mwisho wako kuishi.
 
Zawadi kubwa kuliko zote -kubalikiwa wowowoo
Sura hata Mbuzi anayo-shida ni wowowoo

Wachini leta zako
 
Kitu chepesi kuliko vyote ni Mb*o kwani inaweza kuinuliwa hata na mawazo tu.
 
Nasikitika kwamba hii thread yako inaweza isipate "LIKES". Watu tulio wengi huwa hatupendi ukweli
 
zawadi kubwa kuliko zote isiosaulika ni ukimwi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…