Ulamaa Hemed
Senior Member
- Sep 21, 2012
- 159
- 16
Habari wana JF jina la Ulamaa Hemed lipo ktk mitandao mingi ya kijamii lkn ndio yule yule mmoja tu. Naombeni upendo na ushirikiano wenu ili niweze kuishi humu kwani IPO KIBAO LAKINI JF KIBOKO YAO. Ahsante.