jitombashisho
JF-Expert Member
- Jun 11, 2020
- 667
- 2,245
Kwanza naomba andiko hili liaiunganishwe.
Wapendwa kwa tajiriba na pia kwa namna CCM hucheza na upepo wa hali ya nyakati natabiri siku yaja chama hicho kikongwe kwa sababu ile ile ya kujinusuru nakutamani kubakia madarakani kitalazimika kumteua Gwajima awe mgombea wao u Rais.
Kwa namna ya sifa na uwezo wake wa kucheza na midundo ya kisiasa bwana Gwajima ni kete na turufu muhimu ijayo kwa CCM hilo CCM wapende ama wasipende kama ilivyokuwa kwa Magufuli.
Askofu Gwajima ni turufu hitajiki mno kwa siku za usoni.
Askofu Gwajima ni jembe na ardhi yenye rutuba kwa CCM.
Gwajima si wa kupuuzwa tena!
Nao muda utaongea...