Ipo siku Clouds FM itawapigia magoti WCB kukubali yaishe

mtotomtamuu

JF-Expert Member
Joined
Dec 4, 2016
Posts
602
Reaction score
1,459
WCB kwa sasa ni kama maji utake usitake utayanywa tu hata ukiwachukia utawaangalia kimya kimya tu. Ukweli ni kwamba Diamond platnumz na WCB nzima wamefanikiwa kwa kiasi kikubwa kuiteka kona ya Mitandao ya kijamii kutokana na brand yao kuwa na Fan base kubwa na inaongoza kufwatiliwa na watu wengi.

Baada ya Diamond kuanzisha Wasafi festival imekuwa ni pigo kubwa kwa clouds, huku wakijikuta wanaanzisha vijembe kuwa wasafi wanateseka wakati wao wenyewe ndio wanateseka

Clouds kwasasa imekosa mvuto, ubuyu wote ulikuwa wcb sasa wamebaki wanatapatapa, ipo siku boss ruge atakapopata nafuu atakuja kumlilia Diamond warudi kama zamani, ni swala la muda tu
 
Pigo kubwa kivipi?? Mbona hujaelezea?
 
Ninavyojua hata EFM walipokuja hali ilikuwa hivi hivi baada ya muda mambo yakarudi kwenye equilibrium, Wasafi pia italeta changamoto hapa mwanzoni baadae itarudi kwenye position yake kama tu media yao haitakuwa na contents za kuvutia zaidi.

Clouds ina mizizi mikubwa.Wasafi media inabebwa kwasababu ya jina na umaarufu wa Diamond lakini hatijajua contents na consistency yao hapo baadae.
 
Simple logic; Brand ya Diamond pekee in funbase ya kutosha nje na ndani ya nchi huwezi linganisha na Clouds ambayo ninkm standalone brandy yaani haina backup ya namna yoyote kwa owner wake si Ruge wala kusaga!
 
Ninavyojua hata EFM walipokuja hali ilikuwa hivi hivi baada ya muda mambo yakarudi kwenye equilibrium, Wasafi pia italeta changamoto hapa mwanzoni baadae itarudi kwenye position yake kama tu media yao haitakuwa na contents za kuvutia zaidi.

Clouds ina mizizi mikubwa.Wasafi media inabebwa kwasababu ya jina na umaarufu wa Diamond lakini hatijajua contents na consistency yao hapo baadae.
Hamna refu lisilo na mwisho ni swala la muda tu
 
Ninavyojua hata EFM walipokuja hali ilikuwa hivi hivi baada ya muda mambo yakarudi kwenye equilibrium, Wasafi pia italeta changamoto hapa mwanzoni baadae itarudi kwenye position yake kama tu media yao haitakuwa na contents za kuvutia zaidi.

Clouds ina mizizi mikubwa.Wasafi media inabebwa kwasababu ya jina na umaarufu wa Diamond lakini hatijajua contents na consistency yao hapo baadae.
Watu sijui wanafanyaje analysis

Clouds fm wana vipindi ambavyo vina audience yake ya kipekee..mfano Powerbreakfast ni news and current issues show na ni kipindi naweza kusema chenye matangazo corparate kuliko show nyingine ya asubuhi Tz na wanaosikiliza ni watu matured kidogo..je wasafi fm itaharibu vipi hili??..the same kuna Jahazi,Amplifaya na vingine..

Wasafi tv imekuja lakini nothing new..

Kwenye media inabidi udefine kwanza utakata audience gani..
 
Nashangaa watu wanaolazimisha kuwa watu tunasikiliza wasafi wakati mm binafsi bado sijawahi hata kuifungulia hiyo channel.
Kwa vijana wengi wapenda muziki tu mtakuwa mko uko sababu hakuna cha maana mnachotaka kusikia ila kwa wengine tunaopenda kusikia vipindi vya maana kwasasa HV bado hatuwezi kuifuatilia mpk watakapo anza rasmi matangazo.
 
Ninavyojua hata EFM walipokuja hali ilikuwa hivi hivi baada ya muda mambo yakarudi kwenye equilibrium, Wasafi pia italeta changamoto hapa mwanzoni baadae itarudi kwenye position yake kama tu media yao haitakuwa na contents za kuvutia zaidi.

Clouds ina mizizi mikubwa.Wasafi media inabebwa kwasababu ya jina na umaarufu wa Diamond lakini hatijajua contents na consistency yao hapo baadae.
Usiifananishe efm na Wasafi,Wasafi wameingia kwenye media industry hawana hata mwaka lakin wanaenda kuipoteza efm,sasa hivi ni Wasafi vs Clouds...believe me clouds wanaenda kupotea ndani ya mwaka mmoja,na sasa hivi tegemeo lao lipo kwa Soudy tu katika kupambana na WCB wengine kama wameanza kunyoosha mikono juu
 
This case is CLOSED.
 
Unailinganisha clouds na wasafi kwa kutumia vigezo gani sasa??

Na watapotezwa kwenye lipi??

Do you think watakuwa na show ya asubuhi kuishinda PB??,,Njia panda,Jahazi,Sport Extra??
 
Back
Top Bottom