sindano butu
JF-Expert Member
- Aug 20, 2012
- 518
- 181
Hii nchi ni yetu na si nchi ya watawala.Kila mtu katika hii nchi anahaki ya kukutana na wenzake sehemu yoyote panapostahili hata kama jambo si la msingi.Watu wanahaki kutoa maoni kwa njia yeyote hata kama wakionekana kwamba ni wazimu.jambo la msingi anachotakiwa afanye kova (polisi) ni kuyazuia mawazo ya watu yasitokee tena na sii kuzuia watu wasikusanyike.we kakova(polisi) kwa nini msitume FFU kwa watawala kwani ndoo chanzo cha mikusanyiko.utaweza kutoa maandamano ya watu lakini uwezi kutoa mawazo yao.shida yako kova (polisi) mnanjaa kwasababu mnawaungukia viongozi.mko teyari kuua watu hata kama mnajua kwamba baadae mtafaidika.NA NDOTO IPO SIKU KOVA UTATULIPA HAKI NA DAMU ZETU ZINAZOPOTEA KWASABABU YENU.