SautiYaMnyonge
JF-Expert Member
- May 13, 2018
- 439
- 742
Mkuu toa maelezo kidogo kuhusu hayo magari.Kama utafuta gari IST basi karibu tuyajenge. Gari zote zipo katika hali nzuri
Namba C 7.8m na namba D 8.5m
Mazungumzo yapo! View attachment 1140712View attachment 1140713View attachment 1140714View attachment 1140715View attachment 1140716View attachment 1140717View attachment 1140718View attachment 1140719
Zote ziko vizuri, imara na ulaji mzuri wa mafuta. Ukiwa tayari gari utaletewa ulipo. Zote zina kadi za umiliki.Mkuu toa maelezo kidogo kuhusu hayo magari.
Cc ngapi na zimetembea kilometa ngapi...Zote ziko vizuri, imara na ulaji mzuri wa mafuta. Ukiwa tayari gari utaletewa ulipo. Zote zina kadi za umiliki.
Namba D hiyo gari nyeupe ina CC 1300 imetembea kilomita 2,000....hiyo nyingine imeshapata mteja asubuhi hiiCc ngapi na zimetembea kilometa ngapi...