Sio Nyumba mpya mwenyewe nahamia mkoa kuna mpangaji 1 ENEO SIO KUBWA 200 SQM LIMEJENGWA LOTE NDIO MAANA BEI IKO CHINI
Hapo mbele mvua imeharibu ngazi na tofali za pembeni. Tabata Kimanga jirani na Mazda mbuyuni pale
Rooms 3
sebule
jiko
Kibaraza kilichofunikwa
Maji Dawasco
Umeme luku haina deni
BEI IMEPOA SANA
View attachment 1109780
angalia vizuri video ingawa ina giza choo ni cha sink kiko safi kabisaMkuu nyumba ni choo vip hii ya kwako kiko wap.samahani lakini
kuna mpangaji kaingia mwezi huu inabidi nimlipe 300 ikiuzwa na hakuna dalai ongeza kidogo tutaelewanaMkuu ukitoa hio ya udalali ulioweka 8 Cash ipo vipi maslahi yapo au?