Ipo wapi Haki ya aliyeingizwa Chupa sehemu za siri Babati?

Haki ya Kijana aliyeingizwa Chupa sehemu za siri huko Babati na Mheshimiwa Mbunge ipo wapi? Kijana kadhulumiwa Haki yake na mtunga Sheria?

NB: TLS, wanaharakati kulikon?
kwani haki ya aliyelawitiwa na RC kule mwanza imepatikana? hii dunia mtoa haki ni Mungu tu.
 
Haki ya Kijana aliyeingizwa Chupa sehemu za siri huko Babati na Mheshimiwa Mbunge ipo wapi? Kijana kadhulumiwa Haki yake na mtunga Sheria?

NB: TLS, wanaharakati kulikon?
Mimi nilidhani badala ya kutetea haki humu jukwaaani, ungefunga mwenyewe safari mpaka huko Babati ili ukatafute ukweli halisi wa hilo tukio kupitia utafiti wako wa kina; halafu sasa ndiyo ungekuja kuililia haki ya huyo kijana humu jukwaani. Maana siasa wakati fulani ina mambo mengi.
 
Haki ya Kijana aliyeingizwa Chupa sehemu za siri huko Babati na Mheshimiwa Mbunge ipo wapi? Kijana kadhulumiwa Haki yake na mtunga Sheria?

NB: TLS, wanaharakati kulikon?
Wenye hela na vyeo wako Juu ya sheria ,Haki yake amuachie Mungu karma itaamua.

The same na yule wa RC nk
 
Tume ya uchunguzi wa kifo cha Kibao iliishia wapi? Tume ya uchunguzi wa ghorofa la kkoo imefikia wapi?
 
inakuwaje mtu mpaka anafanya hivyo!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…