habari zenu bana niaje wadau wa jf...naomba msaada wenu wadau nina ipod ya 1Gb kila nikiweka nyimbo inaktaa afu imeblock nikirestore inakuwa poa ila nikiweka 2 nyimb aimalizi ku syclonise nifanyeje wadau....