Fahari ya kusini
JF-Expert Member
- Nov 26, 2022
- 545
- 1,908
Anzisha kampuni yako,uajili kabila lako, charity begins at home,Hawa Ipp media ni wana ukabila sana aisee yaani crew yao mzima ni wachaga kwanzia MD mpaka mfagizi ni wachaga watupu hivi kwamba watu wa makabila mengine hawapo mpaka muajiri wachaga tu? Sio kama ukabila ni nini? Na watu wengi sana wakija kuomba ajira hapo kwenu lazima muulize ni kabila gani hili linafaida gani? Na kama mtu ni kabila nyingine atapigwa zengwe mpaka aondoke mwenyewe!!!! Acheni hizo bwana
Hakuna kitu kama hicho IPP mkurugenzi mkuu wa IPP sio mchagga na wengine wengi kabisa sio wachagga, kwanza sidhani kama kuna mchagga IPP isipokuwa wamiliki.Hawa Ipp media ni wana ukabila sana aisee yaani crew yao mzima ni wachaga kwanzia MD mpaka mfagizi ni wachaga watupu hivi kwamba watu wa makabila mengine hawapo mpaka muajiri wachaga tu? Sio kama ukabila ni nini? Na watu wengi sana wakija kuomba ajira hapo kwenu lazima muulize ni kabila gani hili linafaida gani? Na kama mtu ni kabila nyingine atapigwa zengwe mpaka aondoke mwenyewe!!!! Acheni hizo bwana
Zomboko ni Mzaramo na yupo IPPHawa Ipp media ni wana ukabila sana aisee yaani crew yao mzima ni wachaga kwanzia MD mpaka mfagizi ni wachaga watupu hivi kwamba watu wa makabila mengine hawapo mpaka muajiri wachaga tu? Sio kama ukabila ni nini? Na watu wengi sana wakija kuomba ajira hapo kwenu lazima muulize ni kabila gani hili linafaida gani? Na kama mtu ni kabila nyingine atapigwa zengwe mpaka aondoke mwenyewe!!!! Acheni hizo bwana
Kula chuma hicho.Zomboko ni Mzaramo na yupo IPP
Anzisha Kamini yako uajiri wa kwenu nyumbu weweWachaga na wala senene ndio zao hizo
Pamoja ni kuwa hii hoja yako ni uwongo, ila hata wangefanya hivyo bado ingekuwa sawa tu. Ila hebu jiulize, mbona nyie mmejazana kwenye vinu vya kubangua korosho na hakuna anayelalamikia ukabila?Hawa Ipp media ni wana ukabila sana aisee yaani crew yao mzima ni wachaga kwanzia MD mpaka mfagizi ni wachaga watupu hivi kwamba watu wa makabila mengine hawapo mpaka muajiri wachaga tu? Sio kama ukabila ni nini? Na watu wengi sana wakija kuomba ajira hapo kwenu lazima muulize ni kabila gani hili linafaida gani? Na kama mtu ni kabila nyingine atapigwa zengwe mpaka aondoke mwenyewe!!!! Acheni hizo bwana
Nyumbu baba ako, fala mkubwa wewe.Anzisha Kamini yako uajiri wa kwenu nyumbu wewe
Na CCM nao wanajaza na kurithisha familia zao, huku AZAM nao ni wafuasi wa Mtume.Hawa Ipp media ni wana ukabila sana aisee yaani crew yao mzima ni wachaga kwanzia MD mpaka mfagizi ni wachaga watupu hivi kwamba watu wa makabila mengine hawapo mpaka muajiri wachaga tu? Sio kama ukabila ni nini? Na watu wengi sana wakija kuomba ajira hapo kwenu lazima muulize ni kabila gani hili linafaida gani? Na kama mtu ni kabila nyingine atapigwa zengwe mpaka aondoke mwenyewe!!!! Acheni hizo bwana