IPP Media acheni Ubaguzi wenu kwa Jamii nyingine. Mlichoandika hapa ni ukaburu

IPP Media acheni Ubaguzi wenu kwa Jamii nyingine. Mlichoandika hapa ni ukaburu

Mtu Asiyejulikana

JF-Expert Member
Joined
Sep 11, 2017
Posts
2,254
Reaction score
5,161
Ukiangalia hii taarifa unajiuliza kutaja asili ya kihindi lengo lake lilikuwa ni nini? si walishasema Mtanzania?

Je, kosa lake linahusiana na Asili yake? Why wataje Asili ya Mhusika? Utagundua. Ni Ubaguzi. Na tukatae kabisa Ubaguzi. Siku nyingine Watandika Mtanzania Mwenye Asili ya Tanga amehukumiwa kwa sababu ya Ushoga.

Screenshot_20210828-141859~3.png
 
Kabla sijakurupuka,

Ningependa kujua labda mtu akifariki dar na si wa asili ya hapo, huwa hawasemi huyo mtu ana asili ya eneo flani?

Kama hawasemi bhasi ulichokisema ni sahihi ila kama huwa wanasema bhasi ulichokisema si sahihi.
 
Ukiangalia hii taarifa unajiuliza KUTAJA ASILI YA KIHINDI LENGO LAKE LILIKUWA NI NINI? si walishasema Mtanzania? Je kosa lake linahusiana na Asili yake? Why wataje Asili ya Mhusika? Utagundua. Ni Ubaguzi. Na tukatae kabisa Ubaguzi. Siku nyingine Watandika Mtanzania Mwenye Asili ya Tanga amehukumiwa kwa sababu ya Ushoga.

View attachment 1912658
Mbona kesi hiyo haina adhabu mbadala ya fine. Isije ikawa mama kamfanyizia mwanaye afungwe. Hii ni kesi ya faini tu.
 
Kwenye vyombo vya sheria kabisa vyenye wa jibu wa kutoa haki kuanzia polisi mpaka mahakamani kitu cha kwanza kuandikwa kwa ajili ya kumutambulisha mulengwa ni jina lake, kazi yake, kabila lake, umri wake, mahali anapoishi na viongozi wa mahali anapotoka, sasa sijui na wao waitwe ni wabaguzi?.
 
Ukiangalia hii taarifa unajiuliza KUTAJA ASILI YA KIHINDI LENGO LAKE LILIKUWA NI NINI? si walishasema Mtanzania? Je kosa lake linahusiana na Asili yake? Why wataje Asili ya Mhusika? Utagundua. Ni Ubaguzi. Na tukatae kabisa Ubaguzi. Siku nyingine Watandika Mtanzania Mwenye Asili ya Tanga amehukumiwa kwa sababu ya Ushoga.

View attachment 1912658
Mtu Asiyejulikana hapo mbona hakuna ubaguzi.
 
Ukiangalia hii taarifa unajiuliza KUTAJA ASILI YA KIHINDI LENGO LAKE LILIKUWA NI NINI? si walishasema Mtanzania? Je kosa lake linahusiana na Asili yake? Why wataje Asili ya Mhusika? Utagundua. Ni Ubaguzi. Na tukatae kabisa Ubaguzi. Siku nyingine Watandika Mtanzania Mwenye Asili ya Tanga amehukumiwa kwa sababu ya Ushoga.

View attachment 1912658
"mtuhumiwa ni Ayub Juma mkuki ,mkaazi wa Lumbila kata ya iwambi,kabila mnyaturu" kamanda wa Polisi wilaya ya mbeya
 
Ukiangalia hii taarifa unajiuliza KUTAJA ASILI YA KIHINDI LENGO LAKE LILIKUWA NI NINI? si walishasema Mtanzania? Je kosa lake linahusiana na Asili yake? Why wataje Asili ya Mhusika? Utagundua. Ni Ubaguzi. Na tukatae kabisa Ubaguzi. Siku nyingine Watandika Mtanzania Mwenye Asili ya Tanga amehukumiwa kwa sababu ya Ushoga.

View attachment 1912658
Ili ionekane si mtanzania!! Ili yakija yale maneno yaliyozoeleka kwa "mpemba... msukuma... muha...!!!" Badala ya neno dukani!!
 
Mimi nimefurahi kufahamu kuwa mtuhuyo ni muhindi. Hata wezi wenyeasili yakichina huwa tunaambiwa na nisawa haina shida.
haya mahindi yanatudharaugi sana sijui mtu anakutwaga nanini mpaka kuyatetea. kuoa huwezi kuwa umeoa labda.... maana kukuoa pia hayawezi kukuoa!! Bullshit!!!
badala umtetee mbowe kafungwa unatetea jihindi!! Tena kwakukurupuka mara mwananchi mara ipp!! Whatahell
 
IPP wamefanya kosa kubwa sana, wangetumia tu neno GABACHORI wangekuwa wamempa stahili yake na kumuenzi Mzalendo Christopher Mtikila
 
Siku nyingine wasisahau kusema mtu yule mwenye asili ya kichaga.
 
ITV waache up...mbavu....

Tuache mazoea ya kijinga....

MTANZANIA ni MTANZANIA TU....

#NchiKwanza
#SiempreJMT
#KaziIendelee
 
Kabla sijakurupuka,

ningependa kujua labda mtu akifariki dar na si wa asili ya hapo, huwa hawasemi huyo mtu ana asili ya eneo flani ???

kama hawasemi bhasi ulichokisema ni sahihi ila kama huwa wanasema bhasi ulichokisema si sahihi
Hoja nzuri
 
Back
Top Bottom