Mtu Asiyejulikana
JF-Expert Member
- Sep 11, 2017
- 2,254
- 5,161
Mbona kesi hiyo haina adhabu mbadala ya fine. Isije ikawa mama kamfanyizia mwanaye afungwe. Hii ni kesi ya faini tu.Ukiangalia hii taarifa unajiuliza KUTAJA ASILI YA KIHINDI LENGO LAKE LILIKUWA NI NINI? si walishasema Mtanzania? Je kosa lake linahusiana na Asili yake? Why wataje Asili ya Mhusika? Utagundua. Ni Ubaguzi. Na tukatae kabisa Ubaguzi. Siku nyingine Watandika Mtanzania Mwenye Asili ya Tanga amehukumiwa kwa sababu ya Ushoga.
View attachment 1912658
Mtu Asiyejulikana hapo mbona hakuna ubaguzi.Ukiangalia hii taarifa unajiuliza KUTAJA ASILI YA KIHINDI LENGO LAKE LILIKUWA NI NINI? si walishasema Mtanzania? Je kosa lake linahusiana na Asili yake? Why wataje Asili ya Mhusika? Utagundua. Ni Ubaguzi. Na tukatae kabisa Ubaguzi. Siku nyingine Watandika Mtanzania Mwenye Asili ya Tanga amehukumiwa kwa sababu ya Ushoga.
View attachment 1912658
"mtuhumiwa ni Ayub Juma mkuki ,mkaazi wa Lumbila kata ya iwambi,kabila mnyaturu" kamanda wa Polisi wilaya ya mbeyaUkiangalia hii taarifa unajiuliza KUTAJA ASILI YA KIHINDI LENGO LAKE LILIKUWA NI NINI? si walishasema Mtanzania? Je kosa lake linahusiana na Asili yake? Why wataje Asili ya Mhusika? Utagundua. Ni Ubaguzi. Na tukatae kabisa Ubaguzi. Siku nyingine Watandika Mtanzania Mwenye Asili ya Tanga amehukumiwa kwa sababu ya Ushoga.
View attachment 1912658
Ili ionekane si mtanzania!! Ili yakija yale maneno yaliyozoeleka kwa "mpemba... msukuma... muha...!!!" Badala ya neno dukani!!Ukiangalia hii taarifa unajiuliza KUTAJA ASILI YA KIHINDI LENGO LAKE LILIKUWA NI NINI? si walishasema Mtanzania? Je kosa lake linahusiana na Asili yake? Why wataje Asili ya Mhusika? Utagundua. Ni Ubaguzi. Na tukatae kabisa Ubaguzi. Siku nyingine Watandika Mtanzania Mwenye Asili ya Tanga amehukumiwa kwa sababu ya Ushoga.
View attachment 1912658
Sibora hao kuliko wanaombikia kesi+ugaidiWanapandikiza chuki
Makaburu namba moja ni wale wanaobagua wenzao kwa tofauti ya mawazo,mitazamo na itikadi za kisiasa.ITV waache up...mbavu....
Tuache mazoea ya kijinga....
MTANZANIA ni MTANZANIA TU....
#NchiKwanza
#SiempreJMT
#KaziIendelee
Hoja nzuriKabla sijakurupuka,
ningependa kujua labda mtu akifariki dar na si wa asili ya hapo, huwa hawasemi huyo mtu ana asili ya eneo flani ???
kama hawasemi bhasi ulichokisema ni sahihi ila kama huwa wanasema bhasi ulichokisema si sahihi