IPP Media acheni Ubaguzi wenu kwa Jamii nyingine. Mlichoandika hapa ni ukaburu

Mkuu

Hilo ni gazeti la wakenya linasadifu tabia zaoa za kuchochea chuki na kushushiana hadhi
 
Hivi Kumbe kitajana majina, kabila na kule mtu anakotokea ni Ukabila Kumbe siku hizi???.
 
Mbona unataka kunipangia wa kumtetea ?si kila mtu anaguswa na jambo lake? Hiyo ndo demokrasia.

Mbona unataka kunipangia wa kumtetea ?si kila mtu anaguswa na jambo lake? Hiyo ndo demokrasia.
Namimi kukupinga ni Demokrasia pia!! Bila soni unatetea wabaguzi?alafu tukuache kisa wahindi wamekugusa? Wamekugusaje name wapi Kwanzaa mpaka uache Waafrika wanateseka India wewe unawalilia wakikosa wasitajwe!!! Dammit
 
Mbona unataka kunipangia wa kumtetea ?si kila mtu anaguswa na jambo lake? Hiyo ndo demokrasia.
Namimi kukupinga ni Demokrasia pia!! Bila soni unatetea wabaguzi?alafu tukuache? kisa umeguswa? Wamekugusa wapi navipi mpaka uwaache Waafrika wenzio wanateswa India wewe unawalilia gabacholi wakikosa wasitajwe!!! Dammit
 
Raia hutambuliwa kwa asili yake pia. Yule Msomali wa Ngaramtoni…Yule Mchina wa Mbagala Kuu, nk.
 
Namimi kukupinga ni Demokrasia pia!! Bila soni unatetea wabaguzi?alafu tukuache kisa wahindi wamekugusa? Wamekugusaje name wapi Kwanzaa mpaka uache Waafrika wanateseka India wewe unawalilia wakikosa wasitajwe!!! Dammit
Mbona hujakatazwa kupinga... Wewe mtetee unayemtaka nami ntamtetea ninayemtaka... Kupanga ni kuchagua. Usikasirike kila mtu anaamua anachopenda ndo demokrasia na maendeleo. Au siyo Bwashee?
 
Mbona ikitajwa mtanzania msukuma unaona ni kitu Cha kawaida hujielewi ww[emoji706]
 
Kwasababu ndio wenye tabia za kuhusiana na Baba zao (Incest) sasa wanadharau mama zao
 
Mtoa uzi hajui maana ya ubaguzi. Ubaguzi ni kama ule wa wahindi kujitenga na waafrika huku wakiishi katika bara lao wakiwa na neema. Ubaguzi ni kama ule wa maeneo ya Dar ambapo wahindi hukaa katikati ya mji huku wakifanya kila wawezalo kukatisha tamaa waswahili kuishi maeneo haya.Ubaguzi ni kama ule wahindi kuwa na dini zao kwa ajili ya wahindi tu. Ubaguzi ni caste system. Ubaguzi ni ile ya wahindi kuendelea kuwatumia waswahili waishio kwenye kisiwa cha Andaman kama kivutio cha utalii. Ubaguzi ni ile hali ya wahindi kuendelea kuwanyanyasa waswahili wanaofanya kazi za ndani kwa mauti yao.Ubaguzi ni ile hali ya wahindi kuendelea kutaka kuwatumia wanasiasa wetu wakati huwa hawapigi kura. Nadhani ubaguzi ndiyo unaosumbua mtoa hoja kuona ubaguzi wa IPP usiokuwepo.
 
Kutukana tu mwaka!!!? Si wangempa kazi ya jamii
 
Wapo sawa hata wenyewe wanapenda kujitambulisha hivyo kwamba wao ni watanzania wenye asili ya India
 
Kutukana tu mwaka!!!? Si wangempa kazi ya jamii
Nilifuatilia hill suala la huyo dada kwenye asili ya kihindi na mama yake wa kambo.
Sio Mara ya kwanza kushtakiwa kwa kosa hilo la kumtukana huyo mama yake wa kambo ambaye ni mbantu na alishahukumiwa kifungo cha nje kwa makosa hayohayo huko nyuma
 
Mbantu akitukanwa si ubaguzi wala udhalilishaji. Ndivyo walivyo wahindi
 
Huwa unakemea media ikiandika "Wafugaji wa Kimasai" au Au "wenye asiki ya Kimasai" Au "mlinzi wa kabila la kimaasai"?
Au unapisema sukuma gang huwa una maana gani ?
 
Hakuna ubaguzi hapo,kule kwa anko Sam(USA),raia huitwa Black American,Indian American man,Latino American,Arab American,
Hakuna ubaguzi hapo.
Ni mtazamo wako tu na uelewa
 
Kabla sijakurupuka,

Ningependa kujua labda mtu akifariki dar na si wa asili ya hapo, huwa hawasemi huyo mtu ana asili ya eneo flani?

Kama hawasemi bhasi ulichokisema ni sahihi ila kama huwa wanasema bhasi ulichokisema si sahihi.
Ukweli ni kwamba hakuna ulazima wa kutaja asili ya mtu

Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…