IPP Media: Huu ni uzembe?

IPP Media: Huu ni uzembe?

macho_mdiliko

Platinum Member
Joined
Mar 10, 2008
Posts
25,191
Reaction score
48,765
Mara nyingi ukifungua tovuti ya IPP Media ukitaka kusoma gazeti la Alasiri baadhi ya habari hazifunguki... na unakupata error message "page not found". Huu ni uzembe au ndio style mpya ya ku-display web pages kwenye internet??

Kwa mfano hii ni "error message" niliyopata leo nilipotaka kusoma kwenye "link" yenye kichwa cha habari "Vinara Kagoda kuanikwa Jumatatu"
The requested URL /ipp/alasiri/2009/01/09/129428.html was not found on this server.IPP Media whats wrong?? Au ndio mnataka kudhihirisha ule msemo "hakuna kitu cha mwafrika kilicho kamili????"
 
kwani lazima usome IPP kuna bcstimes , mwananchi , dailynews , thiday na mengine mengi
 
na majira nao kama siku 3 ama 4 sasa hawapatikani.
 
Mara nyingi ukifungua tovuti ya IPP Media ukitaka kusoma gazeti la Alasiri baadhi ya habari hazifunguki... na unakupata error message "page not found". Huu ni uzembe au ndio style mpya ya ku-display web pages kwenye internet??

Kwa mfano hii ni "error message" niliyopata leo nilipotaka kusoma kwenye "link" yenye kichwa cha habari "Vinara Kagoda kuanikwa Jumatatu"
The requested URL /ipp/alasiri/2009/01/09/129428.html was not found on this server.IPP Media whats wrong?? Au ndio mnataka kudhihirisha ule msemo "hakuna kitu cha mwafrika kilicho kamili????"

Unalosema ni kweli kabisa. Mimi limenitokea zaidi ya mara moja, tena hata baada ya siku mbili habari unaiona lakini ukitaka kuifungua unapata hiyo message. Huu ni uzembe wa hali ya juu na upo sana kwenye tovuti ya IPPMEDIA.
 
Mara nyingi ukifungua tovuti ya IPP Media ukitaka kusoma gazeti la Alasiri baadhi ya habari hazifunguki... na unakupata error message "page not found". Huu ni uzembe au ndio style mpya ya ku-display web pages kwenye internet??

Kwa mfano hii ni "error message" niliyopata leo nilipotaka kusoma kwenye "link" yenye kichwa cha habari "Vinara Kagoda kuanikwa Jumatatu"
The requested URL /ipp/alasiri/2009/01/09/129428.html was not found on this server.IPP Media whats wrong?? Au ndio mnataka kudhihirisha ule msemo "hakuna kitu cha mwafrika kilicho kamili????"

Uliloandika ni kweli. Mimi pia imeshanitokea mara nyingi tu mpaka sasa nikifungua IPP Media huwa sihangaiki kusoma habari nyingine. Huwa naangalia "home page" tu.
Huu ni Uzembe wa hali ya juu.
(my opinion).
 
Nawahimiza vyombo vya habari viimarishe tovuti zao ili watanzania wapate sehemu za kutolea maoni yao.
 
Mtu kama huyu anayesimamia tovuti za ippmedia kesho analeta cv zake anaomba kazi wizarani au sehemu nyingine yoyote katika cv unaona kabisa alikuwa anafanya kazi ippmedia , mambo yenyewe ndio haya unategemea nini ??
 
Haya ni uzembe kwenye internet website, lakini pia Kumekuwa na mazoea ya makosa mengi tu IPP Media print, mpaka imefika kwamba ukiona kosa wala hushangai, lakini unajiuliza Editors walikuwa wapi.
Labda ni ile kwamba tumejenga tabia ya mwandishi kuridhika na kitu alichokiandika bila kukisoma mara kadhi ili kuondoa vimakosa vidogovodogo ambavyo vinapunguza umahiri wa mwandishi na Editor wake.
Ukiangalia hata staili ya kuandika inasikitisha kiasi fulani, kwani huonyesha kazi ya kulipua boara nimeandika. Mara kadha mimi badohuona kipande cha gazeti kama Times la miaka kadha nyuma, bado unaona raha kulisoma unafurahia ile "presentation" tu japo habari imepitwa na wakati, unafurahia "grammar, planning, humour na analysis" kwani inafundisha kitu fulani. Labda ningewashauri hawa waandishi wetu kuwa wanasoma vya wenzao, sio kupata habari tu, bali kujifunza namna ya kuandika na kuvutia wasomaji.
 
Kwenye kuomba kazi, kuna makampuni fulani lazima uyatoe ili uweze kufanikikiwa. Ila tujue kamba tanzania bado hatujawa vizuri kwenye mambo ya internet, sometimes zinakata nafikiri ni sehemu zoe hata Ikulu.

Keep on trying utapata ukikosa basi nenda kwingine ujaribu utapata.
 
Back
Top Bottom