Lucas Mwashambwa
JF-Expert Member
- Jul 28, 2022
- 28,722
- 20,610
Ndugu zangu Watanzania,
Hii Nchi yetu ina kila aina ya sayansi na wana sayansi. Huko Mkoani Rukwa wilaya ya Sumbawanga kumejitokeza jambo ambalo limenigusa sana .
Embu Soma habari hii👎
Katika hali isiyo ya kawaida kijana mmoja aliyefahamika kwa jina la Daud mkazi wa Sumbawanga mkoani Rukwa, amezua taharuki baada ya kuiba koti la mzee mmoja ambaye jina lake halijafahamika ambapo baada ya kuiba koti hilo ilianza kusikika sauti ikitoka katika koti ikimtaka arejeshe haraka kwa mmiliki halali ambaye kwa wakati huo alikuwa katika kijiji cha Isesa nje kidogo na Sumbawanga mjini.
Huyu mtu alitakiwa achukuliwe kisirisiri na kupewa kila huduma anayohitaji ili awe maalumu kusaidia baadhi ya mambo mazito mazito😀😀.
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.