Naona Ippmedia imeingiza gazeti jipya sokoni likienda kwa jina la SEMA USIKIKE. Gazeti hili toleo la 001 limebeba kichwa cha habari Masha akutana na wababe wa mchezo mchafu geneva -kikao kilifanyika 5 okt 2008 saa 12 hadi 2 usiku chumba0306 hotel mandarin oriental.
Pili naona wamefufua gazeti lao la Taifa letu(binafsi nilikuwa sijaliona long time may b memberz mlishaliona).Toleo la leo na. 00487 lina habari "karamagi adaiwa kudandia wake za vigogo wenzake, avunja ndoa ya mkuu wa wilaya kwa kufanya mapenzi na mkewe, anafanya urafiki na mwenye mke kisha anamgeuzia kibao.Linabainisha kuwa mkuu wa wilaya yupo huko kigoma na ni kijana..
Nikiangalia kumbukumbu zangu naona DC kijana either ni mh. mongela Wa kigoma urban/rural or mh. Bwanamdogo DC wa kasulu.
Hayo mambo mapya ya ippmedia