IPPMEDIA, Magazeti mapya na nyeti za marsha na karamagi

Watanzania tuko busy kujadili mambo binafsi ya watu badala ya kujadili jinsi gani ya kuondoa umasikini wetu
 

You have to think outside the box, the thing here is "vita dhidi ya mafisadi" na hiyo ndio issue sasa tutaizungumzia vipi vita hii bila kujadili wanaoshiliki na hila zao?
 
Waongeze mengine mengi yawachambue mafisadi wanaotuibia na kufanyia uhuni fedha za walipa kodi.Viongozi wasiowaadilifu wanavunja ndoa za watu.
 


....Mkuu, Hii una uhakika nayo? Hebu tupe data zaidi tafadhali...!
 
tusicho hitaji sie ni uongo.
ukweli wote tunautaka.
viongoz lazima wawe na maadili mazur

huenda mengi ana ajenda zake za siri. mi namtaka asiseme uongo au asitumie vyombo vyake vya habari kusema uongo, asituchafulie viongoz wetu wazur wakaonekana hawafai machoni petu - kwani kama hawapendi wasaf watakuja au atakuwa anawapenda wasiofaa. hii ni sampuli ingine ya ufisadi

lakin kama yanayoandikwa ni kweli, mwache aandike. hatuhitaj viongoz wa ovyo. yote mpaka ya ndan yaandikwe. na kwakufanya hivyo atakuwa anajitolea kupigana kwa niaba ya jamii ya watu wote wanaoitakia heri na baraka tz leo na kesho
 
Hii mzee kali,duu!

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…