Ipsum new Model vs Toyota Wish

KINGSLEE

JF-Expert Member
Joined
Aug 30, 2013
Posts
830
Reaction score
1,046
Wadau nataka kununuwa gari mojawapo kati ya hizo hivyo naomba msaada wakujua ni gari ipi nzuri kati ya hizo.
Nimelenga kumiliki Family car with 4 silinda na bajeti yangu ni 15m.

Nielimishe..
1) Idadi ya watu kukaa
2) Ukubwa wa Engine
3) Uimara wake
4) Upatikanani wa spear
5) Ipi ina status nzuri zaid kwenye jamii
6) Ulaji wa Mafuta ukoje
7) Changamoto zake or Mapungufu yake
8) Mengineyo
 
Naomba niongelee Ipsum ndio naijua zaidi
1) 7 mbele 2 kati 3 hadi 4 nyuma 2 hadi 3
2) engine ya Kawaida 4 cylinders
3) imara kuliko wish body yake haichakai haraka
4) spea zipo nyingi tu
5) ipsam ina status nzuri kuliko wish
6) 4 cylinder haili sana mafuta
7) Nakushauri usichague ya chini sana chagua iliyopanda kidogo juu uta enjoy
 
Am chukua ushauri wako hatajuta.
 
Nashkuru mkuu
Ivi Cc zake ni sawa na za wish au tofauti
Ulaji wa mafuta ukoje
 
Mnyama mtamu sana huyu kwa matumizi ya familia ila tatizo ana mabampa yanaifanya gari kuwa chini na sijajua kama inawezekana kuyatoa then ukaweka ya kawaida! halafu binafsi napenda ya 4WD maana kwenye matope hukwami! Ila Toyota noma sana injini ya hii ipsum ndiyo hiyo hiyo ipo kwenye baadhi ya rav 4, alphard, harrier, klugger, camry!!! n.k ndo maana Toyota kukosa spare sio rahisi
 
Nimependa namba 5- status kwenye jamii, wengi hili hawalitazami, lakini lina mantiki sana, most huwa wanaulizia only ulaji wa mafuta,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…