Consigliere
JF-Expert Member
- Sep 9, 2010
- 12,037
- 24,637
Mazingira sawa ki-vipi? kwanini sisi waafrika tusiweke sawa mazingira yetu, hatuna mazingira ambayo unataka kuyaita sawa kwasababu hatuna uwezo, yaani mazingira akutengenezee yeye halafu uyatumie kumzidi kwa kukariri darasani halafu ujisifu kuwa una akili kuliko yeye, kwani tusitengeneze sisi hayo mazingira ya ushindi tangu utotoni thats funny... wamejitengenezea hayo mazingira kitu ambacho sisi kimetushinda.Wazungu na waafrica tukiwekwa mazingira sawa tangia watoto na kufundishwa the same thing, waafrica wana akili nyingi sana.
labda kunakuwa uwezo masomo na uwezo wa kufikiri
Mazingira sawa ki-vipi? kwanini sisi waafrika tusiweke sawa mazingira yetu, hatuna mazingira ambayo unataka kuyaita sawa kwasababu hatuna uwezo, yaani mazingira akutengenezee yeye halafu uyatumie kumzidi kwa kukariri darasani halafu ujisifu kuwa una akili kuliko yeye, kwani tusitengeneze sisi hayo mazingira ya ushindi tangu utotoni thats funny... wamejitengenezea hayo mazingira kitu ambacho sisi kimetushinda.
Gari watengeneze wao halafu sisi tujisifu kuwa tunajua kulikimbiza?
Mazingira sawa ki-vipi? kwanini sisi waafrika tusiweke sawa mazingira yetu, hatuna mazingira ambayo unataka kuyaita sawa kwasababu hatuna uwezo, yaani mazingira akutengenezee yeye halafu uyatumie kumzidi kwa kukariri darasani halafu ujisifu kuwa una akili kuliko yeye, kwani tusitengeneze sisi hayo mazingira ya ushindi tangu utotoni thats funny... wamejitengenezea hayo mazingira kitu ambacho sisi kimetushinda.
Gari watengeneze wao halafu sisi tujisifu kuwa tunajua kulikimbiza?
musembi hiyo avatar yako imenikumbusha mbali sana,
mazingira tutangenezaje wakati tuna viongozi ambao watoto wao ni agemate zetu lakini mbona wapo kama sisi??
kama mazingira yanatokana na uwezo wa wazazi sijui kama tutafika,
sana sana wao ni wizi mtindo mmoja,nafikiri system hii itapita bila mwafrica kukombolewa kiakili
Mfano wa mazingira duni ya bongo:
- Bongo msosi wa shida wakati wenzetu nchi zilizoendelea wana chakula bora, kumbuka lishe bora ni muhimu katika makuzi na ukomavu wa akili ya mtoto.
- Mtoto huyu wa kibongo ambae yupo lege lege kwa lishe duni akianza darasa la kwanza unakuta wako wanafunzi zaidi ya mia moja darasani au (chini ya mti/ banda la nyasi) wakati mwalimu ni mmoja, hivyo katika early stages za masomo wanapoteza mwelekeo. Wenzetu developed countries unakuta watoto 20 ndani ya darasa na wana facilities zote kiasi kwamba uwezo wao wa kufikiri unaongezeka ukilinganisha na wenzao wa nchi maskini kama TZ.
Kwa nchi hii ambayo hujui kesho unakula nini, IQ test kwetu ni nonsense.
labda kuna uwezo masomo na uwezo wa kufikiri
Intelligence ... Kwa kiswahili rahisi ni WEREVU!
Ni kweli wataalamu wengi wa sikuhizi wanakubalina kuna namna mbili tofauti za kutambua Werevu wa mwanadamu
1. Werevu wa viwango vya KIAKILI ..IQ
2. Werevu wa viwango Vya KIUTU ... EQ (Emotional Quotient) au wengine wanaita EI (Emotional intelligence)
Kuweza kupata WEREVU wa Kweli Wa Mtu lazima kuchangaya werevu wa Kiakili na ule wa Kiutu.
Werevu wa kiakili ni ule unaofanana na werevu wa komputa lakini ndani ya akili ya mtu... lakini huu haumpi mtu uwezo wa kiutu ambao ni uwezo wa kuwa na kutumia ..ubinaadamu, upendo, uwajibikaji, nidhamu ya maisha ,kutukuwa na ubinafsi, unyeyekevu wenye ujasiri, uzalendo, ushujaa, kujitoa muhanga, kuwa na ustaarabu na thamani zote za Utu wa mtu usiopatikana kwa wanyama au mashine.
Mtu anaweza kuwa na sifa kubwa sana za kiakili kama profesa hivi lakini akawa hana utu na sifa zake zote ...Huyu si mwerevu hata kidogo... werevu kamili ni kuerevuka KIAKILI na KIUTU!
Viogozi wetu wengi bure kabisa....wamepiga shule kaama kawa ...IQ zao safi Utu ..Lakini EQ ..sifuri kabisa ..wabinafsi, hawana utu, hawana upendo wa nchi yao nk.
ʞontɹact Sniper;2264637 said:Halafu tunajifariji eti tuna akili zaidi ya wazungu, hii kauli huwa inanikera sana, akili gani ambazo hazitusaidii chochote katika kupambana na kuyapambanua mazingira yatuzungukayo ili yawe borana adilifu?
Haya basi tufanye kuwa tuna akili kuliko wao, mbona wenye akili ndogo wameitumia ipasavyo katika kujirahisishia maisha wakati sisi eti wenye miakili mingi bado tunasota na kuwaomba msaada wao watukwamue, kama hayo ndiyo matunda ya akili ni heri nisiwe na akili au niwe nazo kidogo kama za hao wazungu.
My take...
This is something that I frequently ponder and always perplexed me; tunajua kuna waafrika wengi wana akili sana tuu (kuna jamaa akiitwa "so much simple" pale Tambaza…we acha tuu). Lakini we always fail to translate that into tangible solution in our lives. Mimi nafikiri tatizo letu kubwa liko kwenye kile nitakacho kiita "social intelligence". "Social intelligence" na maanisha vile how a society use their "know-how" to solve problems and find efficiencies to advance their communities. Sisi hatuna hiyo (labda tumeipoteza)...we don't act for the well-being of the community. THIS MAKES THE INDIVIDUAL INTELIGENCE NOT A CONTRIBUTING FACTOR IN THE DEVELOPMENTOF A SOCIETY AS AWHOLE. Mtu ukiwa na kipaji basi jamii ina kukandamiza badala kukuhamasisha na kukuendeleza!
Asians (Koreans and Japanese in particular) on the other hand, community obligation is central to their culture. To sacrifice for ones community is highly regarded act to them. Read about the Kamikazes of Japan to understand one's sacrifice for community. In case you didn't know; all major Japanese companies (Sony, Mitsubishi, Fujitsu, Toshiba, etc) have an allegiance to corporate for the sake of the Japan. Read about it you will know. The Chinese have a strategic drive to export goods and labor to the world…Leaders in Korea do commit suicide when they have failed their society.
Ni hii culture aspect ya intelligence that sisi hatuna au tumeipoteze. Wewe angalia wabongo ambao wako majuu kwenye very senior position. Sasa mbongo huyo umlete nyumbani na kumpa ukurugenzi kisha umpe mwaka.... Kwanza, atajihidi kuweka mambo sawa kama ipasavyo lakini society itambiga vita weee mpaka either ataachia ngazi na kurudi zake majuu (mtoni, ng'aambo, unyamwezini, mtini, n.k) au ataamua naye kula nao kiufisadi....na kunufaisha tumbo lake kama wenzake.
Fikiria......
Nimefikiria!! Lol
Its objective*observation and We have a lot to learn and change... I think the problem of social intelligence ...*directly*comes from the Individual/ emotional intelligence ... social intelligence ... Uzalendo? ... Utaifa?
Kaka naungana na wewe kuwa sisi hamna lolote kwani hayo mazingira mazuri si wameyatengeneza wao angalia vi2 vyote tulivyoachiwa kama reli ya kati,Mashule ya kiseminary vyote vimezeeka baada ya wao kuondoka
Kufuma kwilejheWazungu na waafrica tukiwekwa mazingira sawa tangia watoto na kufundishwa the same thing, waafrica wana akili nyingi sana.
Labda IQ za kuteka watu wanaokosoa serikali!IQ ni uhuni wa wazungu achana nayo, waafrica wengi wana akili zaidi ya wazungu...huo ni ukweli hata mkiingia darasa na mzungu atakimbia mwenyewe. siyo kwamba hawapendi kuja kusoma UDSM au SUA wakija milecturer yetu inakula vichwa mapema sana wanaishia kudai wao foreigners na wakubwa kwa kuogopa kunyimwa misaada wanawa pasisha. Try to ask any physician even psychiatrician....they will tell you IQ is Crap..bullshit
Nini cha maana kinachokufanya ujione tuna IQ kubwa?Wazungu na waafrica tukiwekwa mazingira sawa tangia watoto na kufundishwa the same thing, waafrica wana akili nyingi sana.
Hatuna akili bila kumung'unya maneno labda akili za kuteka walala hoi wanaokosoa serikalindivyo mnavyojidanganya?eti mna akili?si mngeacha kutembeza bakuli basi kwa hao mnaowabeza kama na nyie zimo?mna akili halafu mnaenda kuficha hela uswisi huku wenzenu wanakufa kwa njaa na malaria?eti mna akili nyie?mnatembelea magari ya kifahari ya mamilioni huku hamna umeme,hamna vitanda hospitali,hamna maji,eti mna akili nyie?vyuo vinavyotumia vitabu vilivyoandikwa na haohao wazungu mnaowabeza,eti vina akili?vimekalia politiki badala ya tafiti,eti vina akili?mweee!
Kabisaakili zetu zimelala na zinaitajiwa kuamshwa