IQ training quiz

Dystopian Man

Member
Joined
Aug 4, 2022
Posts
16
Reaction score
13
Three robbers have just robbed a bank. To escape, they need to cross a river. The first robber stole $3,000, the second stole $5,000, and the third stole $8,000.

Rules:

1) The raft can hold either two robbers or one robber and one bag.

2) No robber can be left alone with a bag worth more than the amount he stole.

3) Two robbers cannot be left alone with bags that are together worth more than the sum of what both originally stole.

How can they cross the river?
 
Iyo rule namba tatu cjaielew kabis .. Ningeelew ningejib
 
1. Avuke wa 5000 na ela yake then arudi bila mzigo
2. Wa 8000 apeleke mzigo wa 3000 then arudi bila mzigo.
3. Wa 3000 na 5000 wavuke bila hela then arudi wa 5000 na hela zake.
4. Wa 8000 aende then wa 3000 arudi na 3000 zake.
5. Waende wa 3000 na 5000 bila mzigo then arudi wa 8000 bila mzigo.
6. Wa 8000 achukie mzigo wa 3000 then avuke then arudi wa 5000
6. Finally wa 5000 avuke na 5000 yake.
 
Okay they will do this

Kwanza ntakomaa na rule 1 na rule 3 na rule 2 Mpaka mwisho

Rule 1 inasema nanukuu

Kivuko kinaweza beba wawili au mmoja kati ya hao watatu pamoja na begi 1 tu

Rule 2 inasema nanukuu

Hakuna jambazi ambae atabaki peke ake na pesa ambayo ni zaidi ya ile aliyoiba

Rule 3 inasema nanukuu

Majambazi wawili hawatakiwi kubaki pamoja na kiasi ambacho ni zaidi ya jumla ya kile walichoiba

Twende sasa na mchezo:

SOLUTION

Robber 1: kaiba $3,000

Robber 2: kaiba $5,000

Robber 3: kaiba $8,000

Cha kwanza tutatumia rule 1 & 2..

Tutaanza na rule 1 & 3:

Robber 1 na Robber 2 wataingia kwenye kivuko na pesa begi 1 $8000 km zilivyo wakati Robber 3 atabaki na $5000+$3000

Wakifika ngambo hapa

Tutatumia rule 2:

Ambapo Robber 2 atashuka na kubaki peke ake (akiwa bila mfuko)

Kisha Robber 1 atarudi na $8000 kwenda kwa Robber 3

Tutatumia rule 1, 2 & 3:

Robber 1 atamchukua Robber 3 kwenye kivuko wakiwa na $5,000

Alafu $3000 na $8000 wataziacha

Kisha watavuka Mpaka kwa Robber 2 watampatia $5000 za kwake

Tutatumia rule 1 & 3:

Kisha watarudi Mpaka ngambo watachukua $3000

Kisha Robber 1 na Robber 3 wakiwa na $3000 watarudi kwenda ngambo kwa Robber 2 wakiwa wameacha $8000 peke ake

Robber 1 atashuka akiwa na $3000 za kwake

Tutatumia rule 3:

Robber 1 atabaki na Rober 2

Hakuna pesa iliyozidi

Tutatumia rule 1,2 & 3:

Baada ya hapo Robber 3 atarudi peke ake na kivuko kwenda kuchukua $8000 waliyoiacha

Kisha atarudi Mpaka ngambo na watatokomea kusikoonekana

Na mchezo umeishia hapo

Problem solved ✓
Game over
😜
 
Problem solved✓
😝🤪
 
Mimi hapo nadhani bora wasiibe tu au waendelee kujitoa muhanga wapikizane kwenye hiko kijimtumbwi wavuke wote
 
Mwizi wa 8000$ avuke na Mzigo wa wa3000$na Mzigo 5000$ awaache wezi 2 na Mzigo wapamoja wa8000$ wakikubaliana mmoja atavuka na Mzigo uliobaki ata mfuata mwenzake, huku mwenzao amesha waondolea kiwingu🤣🤣🤣
 
Mwizi wa 8000$ avuke na Mzigo wa wa3000$na Mzigo 5000$ awaache wezi 2 na Mzigo wapamoja wa8000$ wakikubaliana mmoja atavuka na Mzigo uliobaki ata mfuata mwenzake,huku mwenzao amesha waondolea kiwingu🤣🤣🤣
Soma rule 3 mkuu

🤦
 
Robber 1 na Robber 2 wataingia kwenye kivuko na pesa begi 1 $8000 km zilivyo wakati Robber 3 atabaki na $5000+$3000


Problem solved ✓
Game over
😜
haiwezekan Robber 1 & 2 kuingia kwenye kivuko na begi moja..❌ Against the rules.
 
hapo njia simple Robber 1 & 2 wavuke ng'ambo, kule Robber 1 amuache Robber 2! Robber 1 akirudi anachukua bag lake $3000 anavuka mara ya pili, no 2 anarudi mwenyewe anachukua pesa yake @5000 anavuka tena kule ng'ambo analiacha bag na namba 1 anarudi anamchukua Robber 3 wanavuka tena, kule anashuka Robber 2, Robber 3 anafata bag lake $8000 trip ya mwisho wanaenda kula shushu na hivi Sirro kastaafu 😀
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…