iraisers ni kina nani? Sio matapeli kweli?

kigogo1ivi

JF-Expert Member
Joined
Jan 15, 2013
Posts
539
Reaction score
340
Kuna mdau aliniambia kuhusu hawa watu lkn sikutaka kumuamini mapema nikaona nilete huku kwa wadau nikiamini nitapata mrejesho mzuri kuhusu hawa watu.

Kwa kifupi aliniambia ili uwe mwanachama wa iraisers ni lazima utoe kiingilio Tsh 40000 baada ya hapo kila unapoweka pesa utalipwa 30% ya dau lako ndani ya miezi miwili. Sasa nilitaka kujua km kuna mtu kaishasikia chochote kuhusu hawa watu ili atuakikishie usalama wa pesa isijekuwa matapeli. Naomba kuwasilisha
 
Kimbiaa kiongozi,Ukiitiwa fursa ujue wewe mwenyewe ndio fursa.
 
Aseee
Nawasubili wenye kujua zaidi
Hakuna Cha wenye kujua hapo,yaani hapo hesabu zao ni sawa tu na zile za Deci.
Watakaoanza mwanzoni kweli wataanza kulipwa hyo pesa waliyosema ili kutamanisha wengine.
Halaf baada ya miezi kadhaa kampuni inasambaratika na mtu wa kumuulizia humpati unabaki hewani.
This is according to my experience.
 
Back
Top Bottom