kigogo1ivi
JF-Expert Member
- Jan 15, 2013
- 539
- 340
Kimbiaa kiongozi,Ukiitiwa fursa ujue wewe mwenyewe ndio fursa.Kuna mdau aliniambia kuhusu hawa watu lkn sikutaka kumuamini mapema nikaona nilete huku kwa wadau nikiamini nitapata mrejesho mzuri kuhusu hawa watu.
Kwa kifupi aliniambia ili uwe mwanachama wa iraisers ni lazima utoe kiingilio Tsh 40000 baada ya hapo kila unapoweka pesa utalipwa 30% ya dau lako ndani ya miezi miwili. Sasa nilitaka kujua km kuna mtu kaishasikia chochote kuhusu hawa watu ili atuakikishie usalama wa pesa isijekuwa matapeli. Naomba kuwasilisha
πππKimbiaa kiongozi,Ukiitiwa fursa ujue wewe mwenyewe ndio fursa.
Nawasubili wenye kujua zaidiwewe toa kiingilio tu uje utupe mrejesho
Hakuna Cha wenye kujua hapo,yaani hapo hesabu zao ni sawa tu na zile za Deci.Aseee
Nawasubili wenye kujua zaidi