Lyambalyetu
JF-Expert Member
- Apr 6, 2021
- 278
- 255
Huyu bwana Dkt. Mwigulu amekuwa akija hapa bila majibu ya maana kwa manufaa ya Jimbo na Wilaya yetu ya Iramba. Huyu hatufai tena kwani kiu yake ni kufanya siasa za KiTaifa ili aje amtoe Mama Samia mwaka 2025.
Tunafanya utafiti ni nani sasa atafaa kuiwakilisha Iramba bungeni kuanzia Mwaka 2025. Mama Samia hebu mwangalie sana huyu mtu 2025, jimboni ameandaa watu wanaomuunga mkono kwa nguvu zote na hata kabla JPM hajachukuliwa kwa mapenzi ya Mungu alishajisema 2025 lazima awe.
Haya mawazo na plan yake hajaibatilisha hata pamoja na kujua 2025 hastahili kutia pua yake.
Tafadhali Rais Samia ukibahatika kutoangushwa na hawa watu 2025 basi huyu peleka ubalozi wa mbali ili jimbo letu lipate mwakilishi anayeipenda Iramba kwa dhati badala ya Mfia URais huyu!