November? Wakati atakua ameanguka Congress. Kwanza huyo Netanyahu mwenyewe hana uhakika wa kurudi kama waziri mkuu.Rais Donald Trump anasema Marekani haifanyi mazungumzo na Iran, na anaonya kuwa huenda kukatokea tukio kubwa kuhusiana na mzozo huo hivi karibuni.
"Kitu fulani kitatokea, kwa namna moja au nyingine, hivi karibuni," Trump aliwaambia waandishi wa habari kabla ya kupanda ndege ya rais (Air Force One), akiongeza kuwa watu wengi wanatarajia hilo litatokea baada ya uchaguzi wa katikati ya muhula nchini Marekani.
Kauli yake inafuatia ripoti ya gazeti la New York Times kwamba Washington na Israel zimeandaa mipango ya mashambulizi mapya ya kijeshi dhidi ya Iran baada ya mwezi Novemba.
bora Netanyahu arud kuna jamaa mmoja akipata hiyo kitu ni noumaNovember? Wakati atakua ameanguka Congress. Kwanza huyo Netanyahu mwenyewe hana uhakika wa kurudi kama waziri mkuu.
Ni vitisho tu vya siku zote tumevizoea
Hata mimi nataka Benjamin Netanyahu asirudi aje kiboko yenu Waziri wa Usalama Gvir ili muisome namba vizuri.November? Wakati atakua ameanguka Congress. Kwanza huyo Netanyahu mwenyewe hana uhakika wa kurudi kama waziri mkuu.
Ni vitisho tu vya siku zote tumevizoea
Anapigwa Iran anayeathirika zaidi ni Marekani na Umoja wa nchi za Ulaya. Patamu hapoRais Donald Trump anasema Marekani haifanyi mazungumzo na Iran, na anaonya kuwa huenda kukatokea tukio kubwa kuhusiana na mzozo huo hivi karibuni.
"Kitu fulani kitatokea, kwa namna moja au nyingine, hivi karibuni," Trump aliwaambia waandishi wa habari kabla ya kupanda ndege ya rais (Air Force One), akiongeza kuwa watu wengi wanatarajia hilo litatokea baada ya uchaguzi wa katikati ya muhula nchini Marekani.
Kauli yake inafuatia ripoti ya gazeti la New York Times kwamba Washington na Israel zimeandaa mipango ya mashambulizi mapya ya kijeshi dhidi ya Iran baada ya mwezi Novemba.
wa iyo saivi mmeamia kwa Shoga mwingine???bora Netanyahu arud kuna jamaa mmoja akipata hiyo kitu ni nouma
Bro, mimi ni MnyisanzuNenda kapimwe mkojo Uarabu-koko wako unakusumbua sana!!
Swadakta.Mimi ni Mmatumbi
ukijua sodoma ilikuwa wap na ni.kizazi gan kilifanya huo uchafu hupati shida ninan hasa mashoga. au ukipata muda nenda kwenye ngoma za kiasili za kiarabu hapo uarabuni uone wanaume wanavyokata mauno.K
wa iyo saivi mmeamia kwa Shoga mwingine???