Bwana Utam
JF-Expert Member
- Feb 15, 2016
- 20,546
- 38,093
Kwahio iran kwasasa shughuli za uchumi zote zimesimama nchi haiendi πUdhaifu upi wakati Iran inachechemea hawauzi mafuta, pesa zimekuwa frozen, mnaotaga sana.
Wale waliofyekwa ni walikua magaidi walofadhiliwa nama lgbtq+ ndio maana wakafyekwaWangekuwa na IRGC wasingeandamana wakauwawa maelfu, internet isingekatwa. Wa Iran walioweingi hawautaki huo utawala Wala uislam. Ni kama Tanzania jinsia watu walivoichoka CCM ila ndio inatumia nguvu kubaki madarakani.
Ujinga mtupu unawasumbua **Wafuga Midevu na Majini hiyo ni AINenda mfereji wa Hormuz ukaokote Iphone na pafume akili yako inaweza ikachangamka kidogo
Ndoto za Mwendawazimu hizo!!! Wafuga Midevu na Majini Lazima wapigwe tu mabomu maana hakuna namna nyingine ya Israel kuafikiana na MagaidiItamar Ben Gvir, Israel Katz au Smotrich wanatokea vyama vidogo hawawezi fikisha hata 20% wote watatu kwa pamoja kwahiyo hakuna namna watatoa waziri mkuu.
Alternative ya Netanyahu ni Gadi Eisenkholt ambaye ni moderate zaidi na anaweza maliza migogoro mezani sio kwa makombora.
Huyo Gadi usimvike huo wema, nasemaje huyo jamaa huo wema hana, juzi kasema akipata hiyo nafasi Gaza itasahaulikaItamar Ben Gvir, Israel Katz au Smotrich wanatokea vyama vidogo hawawezi fikisha hata 20% wote watatu kwa pamoja kwahiyo hakuna namna watatoa waziri mkuu.
Alternative ya Netanyahu ni Gadi Eisenkholt ambaye ni moderate zaidi na anaweza maliza migogoro mezani sio kwa makombora.
Sasa bila kura za waarabu Gadi hawezi shinda. Kumbuka wabunge 14 ni waarabu so bila kulegeza sera juu ya Gaza huyo Gadi au Netanyahu hawezi kupata simple majority.Huyo Gadi usimvike huo wema, nasemaje huyo jamaa huo wema hana, juzi kasema akipata hiyo nafasi Gaza itasahaulika
Trump na Netanyau ndio wamekuambia hizi ni picha za AI?Ujinga mtupu unawasumbua **Wafuga Midevu na Majini hiyo ni AI
Ndoto za Mwendawazimu hizo!!! Wafuga Midevu na Majini Lazima wapigwe tu mabomu maana hakuna namna nyingine ya Israel kuafikiana na Magaidi
Walio wengi wangapi?Wangekuwa na IRGC wasingeandamana wakauwawa maelfu, internet isingekatwa. Wa Iran walioweingi hawautaki huo utawala Wala uislam. Ni kama Tanzania jinsia watu walivoichoka CCM ila ndio inatumia nguvu kubaki madarakani.
Wiki iliyopita Rais wa Iran alikiri nchi kuwa na hali mbaya sana kiuchumi. Watu wanahama kutoka sehemu moja kwenda nyingine kutokana na njaa, wanaenda sehemu zingine ili kupata vyakula.Udhaifu upi wakati Iran inachechemea hawauzi mafuta, pesa zimekuwa frozen, mnaotaga sana.
Wewe bado unaamini maneno ya Trump ambaye kila kukicha yanabadilika. Ameshinda vita vya Iran mara 8 na kuteketeza jeshi lao akasema halina tena nguvu kabisa. Sasa sijui anakwenda kupigana na nani wakati vita alishaishunda mara nane.Rais Donald Trump anasema Marekani haifanyi mazungumzo na Iran, na anaonya kuwa huenda kukatokea tukio kubwa kuhusiana na mzozo huo hivi karibuni.
"Kitu fulani kitatokea, kwa namna moja au nyingine, hivi karibuni," Trump aliwaambia waandishi wa habari kabla ya kupanda ndege ya rais (Air Force One), akiongeza kuwa watu wengi wanatarajia hilo litatokea baada ya uchaguzi wa katikati ya muhula nchini Marekani.
Kauli yake inafuatia ripoti ya gazeti la New York Times kwamba Washington na Israel zimeandaa mipango ya mashambulizi mapya ya kijeshi dhidi ya Iran baada ya mwezi Novemba.
Acha uvivu. Google ni bure.Walio wengi wangapi?
Utafiti umefanya wapi?
Kama haujafanya utafiti tupe chanzo cha taarifa yako!
Au ndio Trump kasema!?
πππ huko wanapohamia ni Iran au kongoWiki iliyopita Rais wa Iran alikiri nchi kuwa na hali mbaya sana kiuchumi. Watu wanahama kutoka sehemu moja kwenda nyingine kutokana na njaa, wanaenda sehemu zingine ili kupata vyakula.
Hili jukwaa la kazi gani sasa, wakati google ipo na kuitumia ni bure!?Acha uvivu. Google ni bure.
Rais Donald Trump anasema Marekani haifanyi mazungumzo na Iran, na anaonya kuwa huenda kukatokea tukio kubwa kuhusiana na mzozo huo hivi karibuni.
"Kitu fulani kitatokea, kwa namna moja au nyingine, hivi karibuni," Trump aliwaambia waandishi wa habari kabla ya kupanda ndege ya rais (Air Force One), akiongeza kuwa watu wengi wanatarajia hilo litatokea baada ya uchaguzi wa katikati ya muhula nchini Marekani.
Kauli yake inafuatia ripoti ya gazeti la New York Times kwamba Washington na Israel zimeandaa mipango ya mashambulizi mapya ya kijeshi dhidi ya Iran baada ya mwezi Novemba.