Iran: Tutajibu uhalifu wa kijeshi wa baharini unaofanywa na Marekani

Tayari huko
 
Maharamia wasiwe wa Marekani wenye kutoka mbali na eneo wawe Iranian!!!

akili kama izi bado tunazo tz hatari!! Chanzo kitakuwa Mzungu kwao ndio Mungu🤔🤔🤔🤔🤔..
Kuna coments ukisoma unabaki kujisemea tu ccm acha iendelee kutawala
 
Hizo ni porojo tu hamna kitu hapo. Wakati wanaenda kwenye kikao na kurejea nyumbani kutoka Pakistan waliomba msaada kwa Pakistan wasindikizwe na ndege za kijeshi za nchi hiyo ili Israel wasiwaue.😛😛😛😛
 
Maharamia wasiwe wa Marekani wenye kutoka mbali na eneo wawe Iranian!!!

akili kama izi bado tunazo tz hatari!! Chanzo kitakuwa Mzungu kwao ndio Mungu🤔🤔🤔🤔🤔..
Your browser is not able to display this video.

Your browser is not able to display this video.
 
Maharamia wasiwe wa Marekani wenye kutoka mbali na eneo wawe Iranian!!!

akili kama izi bado tunazo tz hatari!! Chanzo kitakuwa Mzungu kwao ndio Mungu🤔🤔🤔🤔🤔..
IRGC no kikundi cha maharamia.
 
Kuna coments ukisoma unabaki kujisemea tu ccm acha iendelee kutawala

Walokole vichwani kumejaa Uzwazwa ndiomana wakaitwa kondoo waliopotea

wachache sn wenye kujielewa

ndiomana uwa nasemaga kwa uruma tu wenyewe wanaitaji zaidi kukombolewa kiakili

Kama Binadamu mzima kiakili vip mtu kama ww anakushawishi kukaa na njaaa mpaka unakufa !!!!

Chakusikitisha anaekushawishi kwa macho yakawaika yeye msos anakula❗️

Lkn mtu anakaaa na njaaaa adi anakufa

wamekutana na mwamba Markezie kilifi Kenya kondoo waliopotea wanafika 1000 wamepotezwa kikondooo kondoaa.

Hesabu yake inachanganya wengine wanadai ni wengi zaidi..

Tukiwaitaga Milokole mizwazwa muwe mnatuelewa!!!!

tunataka yazinduke sio kwania mbaya awa Binadamu wenzetu! Tunawapenda wawe sehemu ya kuijenga nchi yetu!!

yule mwengine Uganda kaona kabisa mizwazwa ishajaa!!!
ni kuipiga MOTO💥💥💥💥💥🤔🤔🤔 Kondoo waliopotea 900 walikwisha siku moja tu..

Tz mizwazwa ipo salama sababu kuu intelligence ya TZ ipo macho sana
kuzuiya kondoo wasiuwawa kikondoo🤠🤠
 
Wanamuuwa tena kwa Sululu 🤔🤔🤔 sio tena kumtundika juu.
 
Wagalatia na Wayahudi weusi someni hii.

🇵🇰⛔🇮🇷

Asim Munir: Listen to what America says—how long will you keep fighting a superpower? Take a knee, save your leadership, and America will make you happy.

Ali Larijani: You are our guests—you're Pakistani, and we hold you in great respect—but send this message to Trump: We don't fear martyrdom. The only superpower is Allah's essence. 🔥🔥
 
🔴CHINA KWA MAREKANI- "ONYO LA MWISHO"🔴

"China imezingatia uvamizi haramu wa meli ya mizigo ya raia inayosafiri kutoka China hadi Iran na Marekani.

Turuhusu tuwe wazi kabisa: Marekani inaweza kufanya mambo mengi duniani. Lakini kushambulia, kushikilia, au kusumbua meli zinazosafiri kutoka China, au kurudi China, hakutachukuliwa kwa nia njema na serikali ya China na watu.

Vitendo kama hivyo vitachukuliwa kama shambulio la moja kwa moja dhidi ya uhuru wa China, biashara yake, na maslahi yake ya msingi.

Hili ni onyo la mwisho kwa Marekani. Msihesabu vibaya. Msicheze na moto. China itachukua hatua zote muhimu kulinda haki na maslahi yake halali.

Marekani itabeba jukumu kamili kwa matokeo yoyote yanayotokana na uchochezi zaidi."

- Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya China


View: https://x.com/icardo8/status/2046316578120388936?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…