Iran VS Palestina

Iran VS Palestina

othuman dan fodio

JF-Expert Member
Joined
Jan 2, 2018
Posts
6,850
Reaction score
11,033
Uwanjani mpira unaendelea na iran kashamtafuna ndugu yake palestina goli 2-0 mpaka sasa.

Iran alipaswa kuonesha uungwana kwa kuonesha fairness kwa ndugu zake hata ajifungishe tu goli ili wapate furaha kufuatia kipigo wanachokipata huko nyumbani...

Palestina hapendwi hata na ndugu zake kila sehemu anakandwa tu...

Sent from my SM-A042F using JamiiForums mobile app
 
mwanaume kugangamara kuonewa huruma ni maswala yasiyosubira! kulambwa ni kulambwa tu
 
Wakitoka huko wakacheze na yemen huenda wakaikandamiza magoli mengi
 
Back
Top Bottom