Uwanjani mpira unaendelea na iran kashamtafuna ndugu yake palestina goli 2-0 mpaka sasa.
Iran alipaswa kuonesha uungwana kwa kuonesha fairness kwa ndugu zake hata ajifungishe tu goli ili wapate furaha kufuatia kipigo wanachokipata huko nyumbani...
Palestina hapendwi hata na ndugu zake kila sehemu anakandwa tu...