Iran wamebana kotekote. Mbinu za Marekani na Israel zimegonga mwamba

MakinikiA

JF-Expert Member
Joined
Jun 7, 2017
Posts
5,840
Reaction score
8,202
Majuzi viwanja vyote vya ndege vya Kuwait vimepigwa makombora

Hii ni baada ya base zilitumika kuchakazwa na makombora,

Baada ya hapo wakaja na ndege za kujaza mafuta angani nazo zikashushwa kwa sasa wakajifanya kutumia civilian airport nazo hapo majuzi kule Kuwait nazo zimepondwapondwa.

Kwa sasa vita ni ballistic missile sio fighter jet,na yoyote anayetoa anga yake anapondwapondwa
 

Baada ya maayatollah karibu wote kwenda kupata pombe na wale mabikira wasio na idadi....US na Israel wamesalimu amri πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
 
Wakati mnashabikia hii vita mkumbuke bei ya mafuta nchini ni 4000+, kutoka 2700's - 2800's!, nauli za mabasi nazo zimepanda! Baadhi ya bei za bidhaa muhimu sokoni nazo zimepanda!
Hata tusiposhabikia hatubadili chochote mkuu.... Labda marekani aache tabia yake mbovu ya kushobokea wanaume hovyohovyo
 

Ndio dawa ya Magaidi wa Israel na Marekani mana wao iyo njia ndio wanaiyelewa!!!

Kwasasa Ayatollah Mtoto hataki kusubiri subiri!!

MOTO kwa πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯ tu ukitaka tukae mezani tutakaa ukija kwenye MOTO napo tunaenda sawa !!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…