Marekani akili kubwa. Watu wapo Marekani wanacheza kombe la duniaπππ
Watu wanakula bata, majengo yanajengwa, uchumi unakua n.k
Vipi kuhusu Iran?ππππ Wanalipua kambi za Marekaniππππ vita ni akili mpaka mje mshituke bado sana.
Atajenga zingine kwenye nchi za makobazi na mtakuwa mnalipua huko hukoπππ