Kwa alivyo pigwa mtungo ,na bado yupo tu , mpka hapa, Iran kaonyesha ubabe wa kutukuka , na kajenga heshima kubwa itakayo dumu vizazi na vizazi.Ufike wakati Iran nao waoneshe undava wao. Mashabiki za tunasubiri wafanye makubwa ili roho zisuuzike.
Nitaweka bonge la party nikisikia huyo Mzee mwenye domo kama kinda la bata amekufa.
Sasa imagine Izraeli angeenda mwenyewe ingekuwaje.Kwa alivyo pigwa mtungo ,na bado yupo tu , mpka hapa, Iran kaonyesha ubabe wa kutukuka , na kajenga heshima kubwa itakayo dumu vizazi na vizazi.
Mwenyewe ukimaanisha Iran hana vikwazo , Israel hapati sapoti yoyote ya kijeshi wala silaha kutoka Us au?Sasa imagine Izraeli angeenda mwenyewe ingekuwaje.
Yaani Iran anabaki kuwa na vikwazo, lakini anamgonga vibaya mno Israel ambayo haipewi sapoti na USAMwenyewe ukimaanisha Iran hana vikwazo , Israel hapati sapoti yoyote ya kijeshi wala silaha kutoka Us au?
Urusi na China wanamuuzia silaha zote anozohitaji, vikwazo havimuathiri kihivyo. Iran ilijiandaa kwa vita muda mrefu huku ikitengeneza makombora kama silaha yake kuu ya vita.Yaani Iran anabaki kuwa na vikwazo, lakini anamgonga vibaya mno Israel ambayo haipewi sapoti na USA
Natamani waoneshe umwamba wao ili iwe story kila Kona ya Dunia.Urusi na China wanamuuzia silaha zote anozohitaji, vikwazo havimuathiri kihivyo. Iran ilijiandaa kwa vita muda mrefu huku ikitengeneza makombora kama silaha yake kuu ya vita.
Kwa tuliyokuwa tunasimuliwa, bado Iran hajaonyesha umwamba wake.
Nadhani kwa wanayepigana nae kawazidi parefu, Iran anaishia kushambulia vinchi vya Kiarabu hapo ila US ajipigia tu. Hivi Iran hana air defense systems? mabomu kama yanazama tu bila shida yoyote.Natamani waoneshe umwamba wao ili iwe story kila Kona ya Dunia.
WEWE KAMA UNATUMIA AKILI YAKO VIZURI UMEONA VITA INAYO ENDELEA NI KATI YA IRAN NI ISRAEL???Mi huwa ni mumini sana wa kitu kinaitwa Muda
Ujue bana kwanye haya maisha kila mtu anaweza akaongea ila muda ndo huwa msema kwel
Ata vita ya israel na hamas kila mtu alikia anaongea lake mwisho wa sku mshindi ni israel. Ni suala la muda tu
Hezbolla vs israel kila mtu aliongea lake mwisho wa SKU mshindi anajulikana
Israel vs iran kila mtu aliongea lakuongea mwisho wa sku israel yuko juu na mpaka saiv iran anawapiga warabu wenzake ila anaogopa kumgusa israel inaonyesha kabsa iran anamuogopa Israel
So ata kwenye hili Iran vs USA tunajua tu mshindi atapatikana muda sio mrefu ni suala la muda tu
So sioni aja ya kutoana jasho kugombana wala kubishana nazan tuache tu muda utaongea
Ata kombe la dunia kila mtu aliongea lake na wengi walisema kombe la dunia la mwaka huu litakua la hovyo
Lakin mwisho wa SKU kombe la dunia la mwaka huu ndo limeibuka kua kombe la dunia zuri na bora kuliko la qatar na russia according to data na sio maneno yangu
Na atakae bisha bas abishe kwa data ila data za fifa zinasema world cup ya mwaka huu ilikua bora na kwanzia pesa zilizo ingia, uzuri wa viwanja na ata ubora wa mashindano kwa ujumla
So jipeni muda
Iran anapiga sehemu zenye maslahi kwa adui pamoja na zile sehemu ambako makombora ya marekeni hutokea.Nadhani kwa wanayepigana nae kawazidi parefu, Iran anaishia kushambulia vinchi vya Kiarabu hapo ila US ajipigia tu. Hivi Iran hana air defense systems? mabomu kama yanazama tu bila shida yoyote.
Iran kawaje nae ana piga pole pole wakati ye ana kandwa kwel kwel
Heshima huku unapigwa ni kejeli iliyochangamkaKwa alivyo pigwa mtungo ,na bado yupo tu , mpka hapa, Iran kaonyesha ubabe wa kutukuka , na kajenga heshima kubwa itakayo dumu vizazi na vizazi.
Yes it's a very good analysis based on the fact that it's the time that perfects everything so time will tell.Mi huwa ni mumini sana wa kitu kinaitwa Muda