Iran yazindua meli yake ya kwanza ya kivita yenye uwezo wa kubeba drone na Helicopter

ITR

JF-Expert Member
Joined
Sep 22, 2022
Posts
6,096
Reaction score
16,390
Iran imezindua meli yake ya kwanza ya kubeba droni, ikisema inaweza kufanya operesheni katika bahari za mbali kutoka bara la nchi hiyo, shirika la habari la IRNA liliripoti Alhamisi.

Kwa mujibu wa taarifa, meli hiyo ya Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi inaweza kubeba vikosi vya droni, helikopta, na makombora ya cruise. Ikiitwa Shahid Bagheri, meli hiyo ina uwanja wa ndege wa mita 180 kwa droni na inaweza kusafiri hadi maili za baharini 22,000 bila kujaza mafuta.

Awali iligeuzwa kutoka meli ya kibiashara na inatajwa kuongeza uwezo wa ulinzi wa Iran.

Kipindi cha TV ya taifa kilionyesha angalau helikopta nne na droni tatu kwenye uwanja wa meli hiyo.

FB_IMG_1738868832236.jpg

====================================================

Iran has inaugurated its first drone-carrier warship, saying the vessel is capable of operating in oceans far from its mainland, the official IRNA news agency reported Thursday.

The report said the vessel, manned by the paramilitary Revolutionary Guard’s navy, can carry several squadrons of drones as well as helicopters and cruise missiles. Named Shahid Bagheri, it’s capable of launching cruise missiles, IRNA said.

With a 180-meter-long runway for drones, the vessel can travel up to 22,000 nautical miles without needing to refuel in ports. The report said it was converted from a commercial ship and would increase Iran’s power of deterrence.

Footage broadcast by state TV on the inauguration showed at least four helicopters and three drones on the warship’s runway.

Source: National Post
 
Subiri matusi ya makafiri kwa ndugu zao waislam
 
Nyie Watanganyika mna nini cha kulinda usalama wenu ? Au maombi
mbwa vita na wana na helkopta 1 niliwaona wanashuka kwa kamba kwenye sherehe za mapinduzi
 
Iran imezindua meli yake ya kwanza ya kubeba droni, ikisema inaweza kufanya operesheni katika bahari za mbali kutoka bara la nchi hiyo, shirika la habari la IRNA liliripoti Alhamisi.

Kwa mujibu wa taarifa, meli hiyo ya Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi inaweza kubeba vikosi vya droni, helikopta, na makombora ya cruise. Ikiitwa Shahid Bagheri, meli hiyo ina uwanja wa ndege wa mita 180 kwa droni na inaweza kusafiri hadi maili za baharini 22,000 bila kujaza mafuta.

Awali iligeuzwa kutoka meli ya kibiashara na inatajwa kuongeza uwezo wa ulinzi wa Iran.

Kipindi cha TV ya taifa kilionyesha angalau helikopta nne na droni tatu kwenye uwanja wa meli hiyo.

====================================================

Iran has inaugurated its first drone-carrier warship, saying the vessel is capable of operating in oceans far from its mainland, the official IRNA news agency reported Thursday.

The report said the vessel, manned by the paramilitary Revolutionary Guard’s navy, can carry several squadrons of drones as well as helicopters and cruise missiles. Named Shahid Bagheri, it’s capable of launching cruise missiles, IRNA said.

With a 180-meter-long runway for drones, the vessel can travel up to 22,000 nautical miles without needing to refuel in ports. The report said it was converted from a commercial ship and would increase Iran’s power of deterrence.

Footage broadcast by state TV on the inauguration showed at least four helicopters and three drones on the warship’s runway.

Source: National Post
T14 Armata

Iran inapambana kuipiku Uturuki kwenye eneo hilop
 
Iran haifiki nusu ya Uturuki kwenye hilo eneo.

Hapa walichofanya wamezindua vindege vya demonstration, radio controlled planes. Vile vindege ni vidogo hata mtu akisimama anavizidi urefu vinamfika tumboni. Wakati fighter jet inamzidi mwanaume aliyesimama urefu mara mbili kwa wastani.

Hizi RC planes unaweza zitengeneza kama wewe ni hobbyst na una elimu kidogo hata mwanafunzi wa Mechanical Engineering. Ukishindwa kabisa unaagiza nje RC planes zipo nyingi. Ndege zao zina wingspan ya 3 meters na zimebebwa na meli ya mizigo iliyogeuzwa aircraft carrier. Wanacheza hawa

Hivi vinazidiwa urefu na mtu
20250207_225749.jpg

Hivi ndio kabisa hata mistari ya kuongoza ndege ni mikubwa
20250207_225758.jpg

Ukisimama tu unavizidi urefu, tazama wawili waliosimama nyuma.
20250207_225904.jpg
 
Hamna kitu hapo, kama rais wa nchi alifia kwenye helicopter na mpaka leo hawajui nini kilitokea, haya yule kiongozi wa Hamas aliuwawa ndani ya nchi yao mpaka leo wameshindwa tambua ilikuwaje, ...maigizo tu hayo na wao waonekane wamo
 
Iran inajitutumua kivita sasa

Back
Top Bottom