Technophilic Pool
JF-Expert Member
- Jan 18, 2024
- 3,104
- 4,574
Hili ni jukwaa la majadiliano wala si uwanja w vita.Wewe hangaika kwanza kutafuta hela ya kula Kaka haya Mambo ya Vita yako chini ya uwezo wako
Lete hoja nikujibuHili ni jukwaa la majadiliano wala si uwanja w vita.
Kama huna hoja unaweza ukatulia
Nimeziandika hapo juuLete hoja nikujibu
Usichokijua hao hao wananchi ndio walioshiriki katika mapinduzi.Chuki mbaya sana….
Mission zako zikiongozwa na chuki mwisho wa siku Unajinasa kwene mtego wako mwenyewe.
Toka 1979 Iran ilivopindua serikali ya kifalme na kuweka serikali ya kiislam
Ambayo misingi yake yote kumi ni Death to Israel.
1.Death to Israel
2.Dealth to Israel
10. Death to israel
MATOKEO YAKE
1.Khomeni DEAD
2. Qassim soleman DEAD
2.Rais DEAD
3.Muhammed Bugharia DEAD
END GAME: Iran government will Fall hasa ukizingatia wananchi washaichoka
Ivi mkuu unasikiliza taarifa za habari kweli?Usichokijua hao hao wananchi ndio walioshiriki katika mapinduzi.
Raia wa Iran wanaipenda nchi yao na wanaipenda serikali yao wacheni kukamatia propaganda mfu.
Usitegemee Iran kuangua kwasasa kama kuanguka ingeanguka tangu 1980.
Nadhani vita vya wakubwa vinatuhusu sana nchi masikini, Urusi na Ukraine walivo anza kuzipiga, bei ya mafuta dunia imepanda, Iran is one of the big crude oil producers...., la Urusi halijapoa, Iran tena!Wewe hangaika kwanza kutafuta hela ya kula Kaka haya Mambo ya Vita yako chini ya uwezo wako
Hata hapo kenya raia ndio waliomuingizq rato ikulu. Ila hawataki hata kumuonaUsichokijua hao hao wananchi ndio walioshiriki katika mapinduzi.
Raia wa Iran wanaipenda nchi yao na wanaipenda serikali yao wacheni kukamatia propaganda mfu.
Usitegemee Iran kuangua kwasasa kama kuanguka ingeanguka tangu 1980.
Kati ya TZ na Iran wapi Kuna uchumi wa maisha?Ivi mkuu unasikiliza taarifa za habari kweli?
Ni kweli walishiriki mapinduzi lakini hawakujua serikali mpya ingekua inaua watu na kuchukua hela zao kupelekea Hamas,Houthi ,hezbollah
ebu nikuulize unajisikiaje kama serikali yako na ugumu wote wa maisha inawakamua kodi kwenda kufadhili vikundi vya Al jamuti na alshababu ??

Usifananishe Kenya na Iran.Hata hapo kenya raia ndio waliomuingizq rato ikulu. Ila hawataki hata kumuona
Mbona serikal ya Tanzania inafanya hvyo…Ivi mkuu unasikiliza taarifa za habari kweli?
Ni kweli walishiriki mapinduzi lakini hawakujua serikali mpya ingekua inaua watu na kuchukua hela zao kupelekea Hamas,Houthi ,hezbollah
ebu nikuulize unajisikiaje kama serikali yako na ugumu wote wa maisha inawakamua kodi kwenda kufadhili vikundi vya Al jamuti na alshababu ??
mshangae huyoNadhani vita vya wakubwa vinatuhusu sana nchi masikini, Urusi na Ukraine walivo anza kuzipiga, bei ya mafuta dunia imepanda, Iran is one of the big crude oil producers...., la Urusi halijapoa, Iran tena!
😂😂😂😂Atakua mfia dini huyoHata hapo kenya raia ndio waliomuingizq rato ikulu. Ila hawataki hata kumuona
KashatemaIrani atapokea kipondo hadi ateme bungoo