Iran's First Vice President in Tanzania

Alpha

JF-Expert Member
Joined
Aug 30, 2007
Posts
688
Reaction score
335

Fars News Agency :: Iran's First Vice President in Tanzania
 
Hivi kweli kuna dalili wakati huu wa JK Tz tumekuwa zaidi karibu na Iran kuliko wakati BWM, AHM na JKN!

Huna sababu zozote?
 
Amchukue raia wake Rostam Aziz aende nae.... Hatumtakiiii.... ni mwizi......

Unacho kisema hapa ni sawa wachezaji mpiza kumlaumu kipa ,awakisahau kuwa wao wapo 10 kwa pamoja wakati kipa yupo peke yake na lango ,hivi Rostam aliwezaje kutowa hizo pesa na kama sio hao viongozi mliowachaguwa kwa ushindi mkuwa (chaguo la Mungu)?
 
Mengi anabaki hapa hapa. Sana sana tutamrudisha Moshi kula matoke.
 
 
Iran ni marafiki zetu wa siku nyingi. Rostam alinunua deni la wa Iran . Yeye yuko karibu na wa Iran
 
ingekuwa kaja Papa from Vatican mngetia neno au basi tuu?

Papa na Makamu Rais wa Iran wapi na wapi??? Hivi Rais wa Iran tangu lini kawa kiongozi mkuu was dini ya Kiisalam duniani??? Hivi RA anashambuliwa kwa sababu ya Uislamu wake??? Mbona mwatukanganya wana JF mweee!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…