ward41
JF-Expert Member
- Apr 3, 2022
- 749
- 2,533
Tujifunze kidogo kuhusu taifa LA Iraq🇮🇶
Iraq ni taifa lenye history kubwa kuliko matafa mengi duniani
Wanadamu wa kwanza (Adam na Hawa)waliishi hapa katikati ya mito ya Tigris na Euphrates
Dhambi au uasi ulianzia hapa na hawa watu na kusambaa duniani kote
Eneo hili ndipo Adam alimuasi Mungu kwa kushindwa kutii maagizo ya Mungu.
Eneo hili ndipo mauaji ya binadamu ya kwanza Yalifanyika na Cain and Abel.
Eneo hili pia ni chimbuko la mwanadamu wa kwanza kuoa wake wengi (polygamy) . Huyu mwanadamu alikuwa lameck.
Iraq ni chanzo cha uasi wa mnara wa Babel na kusababisha lugha mbalimbali duniani.
Ibada ya sanamu zilianzia Iraq (refer utawala wa Babylon) .
Uchawi ulianzia Iraqi🇮🇶 (refer wataalam wa nyota kipindi cha Yesu walitokea Iraq)
Kwa Ujumla, machukizo ya dunia chanzo chake ni Iraq