Opportunity Cost
JF-Expert Member
- Dec 10, 2020
- 9,034
- 6,913
Nchini Iraq takribani watu 82 wamefariki kufuatia mlipuko wa moto kwenye hospitali iliyokuwa inatibu wagonjwa wa covid 19.
Wengi wa waliofariki ni wagonjwa waliokuwa wamelezwa hospotalini hapo.
Kwa Mujibu wa vyanzo,inasemekana waya wa umeme uliokuwa una hitirafu ulipelekea mtungu wa gas ya Oxygen kulipuka na kusababisha moto mkubwa ulioleta maafa na huzuni kwa ndugu wa wagonjwa.
Inasemekana hili ni tukio la 2 kutokea nchini humo chini ya miezi 2. Ni vyema mamlaka zichukue tahadhari zaidi kwa hatari inayoweza kuletwa na mitungi ya gas.
Nawapa pole wote wqliopoteza wapendwa wao katikati ya kituo ambacho walikuwa wakipambania kuokoa maisha yao kutokana na kanga la covid 19.