Irdp tuuuuuu

Irdp tuuuuuu

Wahini vijana. Tafuteni mageto mapema mlahisishe maisha.
 
Inaniuma sana wakuu,mm nimekosa Mkopo jaman,tungekuepo wote Mipango

Ndg Elinasi,pole sana kwa hilo janga....

Usikate tamaa,kaza mwendo,put your trusts in the almighty God and the rest shall be done to you....

Nafasi za appeals zikitoka,usisite kuwasisitizia heslb hitaji lako...
 
Last edited by a moderator:
hostel kinacho bana ni uhuru wa kupika na mishe za kukaa wa 4 ila watu wanaishi flesh tu ili pia ghalama,mchele wa elfu 10 unakula wk nzima,mi ndo nimesha fika hapa na geto nimesha pata na kwa kufupi sahizi nazurula tu dodoma hapa,karibuni
 
karibuni sana,npo pande za kikuyu Dom,km ww ni msichana nakukaribisha sana nna geto,km mwanaume nafasi zmejaaa
 
Back
Top Bottom