SOSTENESS J.N
Member
- Feb 13, 2013
- 83
- 19
wadau mnaofikilia kukaa geto ni bora ukawai nafasi mapema
wadau mnaofikilia kukaa geto ni bora ukawai nafasi mapema
wengine tushawahi zamani sana.....
Inaniuma sana wakuu,mm nimekosa Mkopo jaman,tungekuepo wote Mipango
Much thanks Bro,pray for me Comrades
kuna geto hapa jilani na mimi elfu 20 tu na umeme 500 nipm