kengeledoi
JF-Expert Member
- May 27, 2016
- 325
- 230
Halafu chakii nilikumis sana😛😛😛, hiyo ni kwa wote maana vijana wengi wanaumia katika mahusianoMkuu unakuja na maswali tena? arghhh
Kaoneee utadhani kameolewaaa[emoji13] [emoji13] [emoji257]kiki tu ndoa ni wewe mwenyewe haina formular wala nini? kama hamna heshima kwenye ndoa yenu hata ufundishwe na nani itaharibika tu
hata kama sijaolewa lakini najuaKaoneee utadhani kameolewaaa[emoji13] [emoji13] [emoji257]
Nimekumiss piaaaa, niambie za weweHalafu chakii nilikumis sana😛😛😛, hiyo ni kwa wote maana vijana wengi wanaumia katika mahusiano
utajuaje sasa alafu nakutafuta balaahata kama sijaolewa lakini najua
ndio kungwi pekee mwenye ndoa tanzaniaYeye kaolewa??
unanitafuta wapi?utajuaje sasa alafu nakutafuta balaa
Inboxee, naona ume lockunanitafuta wapi?
Unajua wakati kila siku unalia lia hapa watu wamekula papuchi wamekimbiahata kama sijaolewa lakini najua
Weupe mm Naona picha tu!!Penye sifa mpe sifa Da Irene yuko vizuri.Huyo mama mwenye walewale kelele nyingi matendo sifuri,labda anafundisha wadada wajikoboe mana alikua mweusi ckuhizi mzungu pori wa usa
Ungekuwa unafuatilia mafundisho yake mpka leo usingekuwa na hasira na wanaume.Moyoni hatuweki wanaume!!Be smart in Irene Voicekiki tu ndoa ni wewe mwenyewe haina formular wala nini? kama hamna heshima kwenye ndoa yenu hata ufundishwe na nani itaharibika tu
Hahahhahahhaha...Be smart...ujinga wa mtu usikufanye mjinga wa Hedi!Unajua wakati kila siku unalia lia hapa watu wamekula papuchi wamekimbia