Irene Uwoya afungua night club kali zaidi Tanzania

Hance Mtanashati

JF-Expert Member
Joined
Sep 7, 2016
Posts
20,137
Reaction score
26,189
Madam original Irene Uwoya milango ya neema inazidi kumfungukia kila kukicha.

Club ya Irene Uwoya ambayo itafunguliwa rasmi mwaka huu december 25 itakuwa ni Club kali kuliko night club yoyote ile hapa nchini.

Night Club hiyo ipo Sinza na ipo katika hatua za mwishoni mwishoni kukamilika


 
Ukali Wake Kuliko Night Club Zote Hapa Tz Ni Upi?
 
Uwoya nikisikia katajwa jamani mie nasisimkwa, Huyu dada mzuli jamani aisee
 
Picha yako nimeihifadhi kwa matumizi binafsi
 
Kwenye yale mabanda yake ya kuuzia bia sinza mori?
 
Mkuu warumi hizi taarifa ulishazisikia? huwa napenda kupata issue za mastaa kutoka kwako sijui kwa nini tu!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…