Nucky Thompson
JF-Expert Member
- Sep 20, 2016
- 1,817
- 4,061
W jamaa avatar yako ya ajabu kweli ...umeweka fuvu zinafir...na hatari sana!!!Hivi hawa kuongea hivi huwa wanafurahia sana.!?
[emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4]W jamaa avatar yako ya ajabu kweli ...umeweka fuvu zinafir...na hatari sana!!!
Wasipoongea huo ujinga watapotea kwenye chatiHivi hawa kuongea hivi huwa wanafurahia sana.!?
Tena wanafurahi kweli kweli hao,mara ya kwanza utaskia,staki kuongelea hayo mambo,afu baadae wanapanic na kuanza kutuelezea historia zao za mapenzi!nafurahigi sana kuangalia interview za wasanii wa kibongo kwakweliWasanii wa kike Bongo wanapenda kujidhalilisha sana, asilimia 95 ya maswali wanayoulizwa huwa ni ya kugegedwa tu na wao waenjooooi kuyajibu.