Irene Uwoya ampa onyo kali Dogo Janja kuhusu mpango wake wa kuoa wake wanne

Joined
Mar 5, 2018
Posts
28
Reaction score
25

Mke wa msanii wa muziki Dogo Janja, Irene Uwoya ametoa majibu juu ya habari zilizopo za mumuwe kutaka kuongeza mke wa pili hadi wanne.

Uwoya ametoa majibu hayo baada ya kukuta habari zimezagaa katika mitandao mbalimbali juu ya mpingo ya mumuwe aliyoweka ya kutaka kufikisha idadi ya wake wanne katika ndoa.

“Ndo utajua mimi Kabila gani thubutu uwone tena wasikudanganye @dogojanjatz,” ameandika mrembo huyo katika mtandao wake wa kijamii wa Instagram mapema leo baada ya kuona stori za mumuewe za kumuongezea mke zikitawala.

Katika kipindi cha The Playlist ya Times Fm kilichoruka juzi ( 12-03-2018) mkali huyo wa ‘Wayu Wayu’ alidai kuwa anampango wa kuongeza mke wa pili hadi wanne kila baada ya miaka 10.
 
KILA BAADA YA MIAKA 10 anajua after 10 years huyu dada keshazeeka hatokuwa na nguvu za kumuacha
 
And the vise versa!hivi huwa hamuoni aibu kuweka mkuyenge wako kwa kibinti kinacholingana na bintiyo wa tatu. !!!
 
Mkuu baa ya uwoya nielekeze ilipo niende
 
Aibu gani mjomba? Kumkoma nyani giladi! Watu wa pwani watanielewa...
 
And the vise versa!hivi huwa hamuoni aibu kuweka mkuyenge wako kwa kibinti kinacholingana na bintiyo wa tatu. !!!
maumbile ya mwanaume na ya mwanamke ni tofauti, hata ukiyakuta yamedondoshwa njiani watu wataanza kuyafunika nguo ya mwanamke, mna hadhi yenu ninyi wanawake huwa hamjui tu, dogo kapata mkosi mkubwa sana, badala ya kuoa intact anaoa mwanamke aliyeachika kwa talaka akafiwa na mtu mzima sawa na babayake dogo....mjane.
 
Wivu wa kijinga kabisa! Acha watu wafurahie Maisha, usiishi kwa kusikiliza maneno ya watu wanasema nini? Fanya kile moyo wako unachopenda na kukusukuma.
kwahiyo mimi naweza kumuonea wivu dogo janja kwa irine uwoya? hahaahaa, mjane aliyevamia katoto kadogo sawa na katoto kake? irine angezaa kiwa na miaka 14 mtoto wake angekuwa mkubwa kuliko dogo.
 
kwahiyo mimi naweza kumuonea wivu dogo janja kwa irine uwoya? hahaahaa, mjane aliyevamia katoto kadogo sawa na katoto kake? irine angezaa kiwa na miaka 14 mtoto wake angekuwa mkubwa kuliko dogo.
Sasa maneno yote hayo ya nini? Acha watu wafurahie Maisha yao. Mbona huwazungumzii wanaume wazee wenye kuoa mabinti sawa na wajukuu zao?
 
Ilo mwili lote kama tembo akimlalia juu huyo dogo si anazimia laana za kujitakia kuogelea k za ma ajuza sijui watoto wasikuizi mnataka kuvumbua nini
 
Mamaake Dogo Janja saa hizi analia
 
Huyu kweli dogo mapema yote hii anataka mwingine
 
unaambiwa mjini mipango arifu.
 
Nimecheka sana mkuu
 
Hatari sana!
 
Vipi mkuu, hii mbinu ulishaitumia? [emoji3]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…