Irene Uwoya anafanya kazi gani?

Yaani mwanaume mzima unajitokeza kuiomba serikali kumchunguza demu? .. yaani nyie ndo.mnafanya wanaume wa dar tuonekane wote maffala
Huyu jamaa kweli ni pimbi kabisa.
Yaani mwanaume mzima anaacha kupambana kutafuta pesa anataka kushindana na demu.
Kwa hyo serikali ya magufuli waache kufuatilia maendeleo na miradi mbalimbali waanze kumfuatilia demu.
Hivi ameona serikali ni chombo Cha udaku ama.
 
Mambo kama hayo Magu anapenda sana maana huwa hataki kuona watu wanapesa. Kwa thread yako utakuwa mwanachama wa CCM
 
Ana sponser jamaa mmoja hivi...

Ila ajitahidi sana pub yake wawe wanapika chakula kizuri... chakula bado sana...


Cc: mahondaw
 
Acha wivu....
Usishindane na mwanamke.....
Hjui kma Kuna watu wanawekeza Hela hapo...... Sjui umenielewa
Na ukiambiwa anayeruka hpo utashangaa

Ova
Si jamaa yetu hapo kwa jirani karibu na R chuga...mwenye mamlaka makubwa pale.
 
Very beautiful woman... Sijui yule dogo alimshindwaje aisee....
 
Tatizo chini utakuta ni bwawa la kihansi
Kuna many ways of enjoying this kind of women Kabla ya kuzama mtungini.... You must first take time to enjoy the beauty of nature, uumbaji wa Mola [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Reactions: Qwy
Napendaga tu mavazi hata kwa 35k unaweza kuyapata kkoo

Hana makuu kabisa katika mavazi
 
Dah,yani imebidi niingize mkono mmoja kwenye kende zangu, nizibinyebinye kuvuta usingizi. Kitendo hiki sisi tuliokulia uswazi tunaita kukanda ngano.

Wewe mtoa post una mapepo kama si ya Kinana na Makamba basi ya Musiba.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…