Tetesi: Irene Uwoya aolewa kimya kimya

Jeremy Bentham

Senior Member
Joined
Apr 22, 2019
Posts
118
Reaction score
131
Kuna tetesi eti mrembo huyo wa tasnia ya bongo movie kuwa ameolewa kimya kimya na mwarabu mmoja mwenye pesa zake.



Tusaidiane jamani.
 
Hawa ndio wale wanaume aliowaimba Juma Nature "wenye nguvu za Simba na wasiogopa risasi,wenye uwezo wa kuhonga.............".

Ndoa ya tatu naona dada yangu anendelea kufanya trial and error calculation ya kutafuta mwanaume wa kudumu nae,sisi tunahesabu wa tatu huyo,sijui ndio atakuwa wa mwisho au ataendelea kufunga ndoa nyingine.

Ila dah yataka moyo.
 
Once upon a time

.............

Lets collects $4800 our son school fees
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…