Irene Uwoya aulizwa maswali magumu na yenye utata

mhalisi

JF-Expert Member
Joined
Sep 9, 2011
Posts
1,181
Reaction score
322
Posted by Super Malecela WJ Blog on Thursday, June 19, 2014


Muigizaji wa filamu Irene Uwoya jana alikuwa kwenye Kikaango cha EATV/EA Radio ambapo mashabiki huwauliza mastaa maswali kupitia Facebook. Hata hivyo, sio maswali yote yalikuwa ya maana. Haya ni maswali 10 ya kipuuzi au magumu zaidi aliyoulizwa *Thomas Muller:* IRENE UWOYA mara ya mwixho kufanya mapenzi LINI?na saa ngpi?
*Nelson Mgosi:* Hivi nikweli mkuu wa kaya huko Burundi ndio unampa penzi na anakuhonga magari. Jibu maswari usiishie kusema mmhh Asante Nop tunataka majibu


*Malimba Manoti: * dah!hivi ni kweli ulikuwa hujui kupika ndo maana ukazinguana na shemu? *Sosthenes George:* kwanini unapenda kutuonyesha mapaja ukiwa location?
*Daudi Shabani:* Unajisikiaje kumuiba mume wa mtu(msami)? *
Ibra Moses Mwaisela:* Irene uwoya kwann umekula hela ya ndikumana umeona kaishiwa umesepa zako ila malipo dunian kama ulimpendea hela utapigwa fain hapahapa
*Hashish Phill: * Mambo dada hivi maisha yako kwenye familia na mapenzi unayachukuliaje, maake naona kama inaweza kuleta sheda hapo kwenu kwakubadili wanaume public namna hiyo?
* Alifa Rajab: * Eti ni kweli wakati wa tendo la ndoa unapenda kuingiliwa kinyume na maumbile na ndo chanzo cha h baba kuachana na wewe?
* Charlles Citty HDee:* ivi irene kwann unamtesa mumeo ndikumana namna hyo? mtu anakupenda ivo alafu unamtenda kiasi hcho?,kwann ulikubal kuolewa mapema kama ulkuwa unajua kwamba ndoa hutoiweza?,alafu n kwel et unatembea na msami?
*Ally Rajabu:* nataka nijue km leo umekunya kweli km hujanya kaa kimya
 
Hahahaaaaa du hayo maswali hayajibiki na hilo la mwisho hahahaaaaaa Le big Show kweli mdaku.
 
Swali la THOMAS MULLER Eti mara ya mwisho kufanya sex lini?na saa ngapi?hahahaha sijajua alijibuje?Hapo alidanganya lazima.
 
Ila huyu dada kamtenda sana Ndikumana..mume kampenda hadi rohoni lakini binti haelewi....Ataishia kuwa malaya tu kupendwa tena asahau
 
Amrudie tu ndiku kuchapiwa ni siri ya ndani.
Hivi Irene ni mzaramo. Mzaramo akiolewa ni lazima alianzishe ili arudi nyumbani kuamzisha miradi ya chapati na vitumbua na anazaa watoto watano kila mtoto na babayake
 
hivi huyu mdada age imeenda ama? naona kama amezeeka ghafla au picha inadanganya?
 
hivi huyu mdada age imeenda ama? naona kama amezeeka ghafla au picha inadanganya?

Mtoto yupo under 30 huyu, bado mbichi kabisa. Usiombe umuone vizuri kwa macho yako aiseee, lazima ugeuze shingo.


Sent from my iPhone using JamiiForums app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…