Irene Uwoya: Diamond mrithi wa Michael Jackson

Aisifuye mvua imemnyea........nyie mwadhani kule hotelini chumbani walienda kuimba mapambio ama ?
 
Kuna jamaa pia huko mbele alichanganya kazi za Justin Bieber na Michael Jackson (wa utotoni) na akaweka kichwa cha habari "nani zaidi "

Kwa kila comment kumi tisa aliambulia matusi kwa kumdhalilisha MJ.
 
kwa akili tu ya kawaida hata ndugu zetu wa milembe hawajawah kuwaza hivo.
 
Duuh diamond na MJ? Thubutuuu Labda km kuna MJ wa TZ lkn si yule mfalme wa pop tunaemjua sie
 
Jamaa alifaidi sana hotelini kapiga kazi ya ukwee majibu hayajifichiii
 
duh?? Ndo uzur wa uhuru wa kinywa na ndo maon yake ofcoz,.....bas sawa tuendelee na mengine,....
 
hakuna kiumbe ataekuja kumfikia MJ kwa dunia tuiishiyo leo, labda next generation people.
 
Diamond karithi nn kwa jacko ama mavazi??,maana hata mziki hawaendani,na hata weza kabisa kumfikia,hivi unamjua jacko ama la,yule ni mkali haita tokea na ameaxha heshima kubwa ambayo hakuba mzungu ataacha kwa karne hizi tatu uijazo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…